PRIME MZEE WA FACT: Treni inavyookoa timu za Tabora Tabora United, warina asali kutoka mjini Tabora, wamefanya lile ambacho wengi wameshindwa kukifanya katika soka la nyumbani, kwa takribani miaka mitano sasa.
Dah! Gamondi aondoka na utamu wake, rekodi zake ziko hivi Gamondi alijiunga na Yanga Juni 24, 2023 akichukua nafasi ya Mtunisia Nasreddine Nabi aliyeipa mataji mawili ya Ligi Kuu, mawili ya Kombe la Shirikisho (ASFC), mawili ya Ngao ya Jamii na...
Ligi Kuu kuna vita ya wazee wa 6-1 KENGOLD bado inajitafuta baada ya kurejea katika duru la pili ikiwa imefanya usajili wa kibabe dirisha dogo la usajili lililofungwa katikati ya mwezi uliopita.
PRIME MZIKI MNENE: Wamechemsha Ligi Kuu England, wakawa watamu La Liga LIGI Kuu England ndiyo inayotazamwa sana na yenye upinzani zaidi ya ligi nyingi duniani, hivyo hata uwe mchezaji uliyejipambanua huko kwingine, mambo yanaweza kuwa magumu unapotua kweye ligi hiyo...
PRIME RIPOTI MAALUM-2: Kilichojificha nyuma ya kufeli wanamichezo KILIO cha wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa bado hakijapatiwa ufumbuzi.
SPOTI MIKIKI: Ni nini kimewakuta vinara wa msimu uliopita? Tukiwa katika mzunguko wa 14 wa ligi kuu msimu wa 2024/25, mambo mengi yamekuwa kinyume sana na aidha matarajio au uhalisia kwa kulinganisha na msimu uliopita.
PRIME Simba CAFCC na maajabu ya 1993 SIMBA imekata mzizi wa fitina. Imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kusota kwa muda mrefu.
UBABE MWINGI: Arne Slot na makocha wengine waliobeba mataji misimu ya kwanza LIVERPOOL imeandika rekodi tamu kwenye Ligi Kuu England baada ya kunyakua taji lao la 20 huku ikiwa na mechi kibao mkononi.
PRIME Soka la kisasa lilivyohamia kwenye maroboti PATRICE Latyr Evra. Beki wa kushoto wa zamani wa klabu kibao vigogo huko Ulaya kama AS Monaco, Manchester United, Juventus kwa kuzitaja kwa uchache pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa, amekiri...
Cudi: Diddy alipojua natoka na Cassie, gari langu likachomwa moto Msanii wa muziki Kid Cudi, mtaalamu wa vipodozi mashuhuri, na mfanyakazi wa hoteli walikuwa miongoni mwa waliotoa ushahidi Alhamisi kuhitimisha wiki ya pili ya kesi ya uhalifu wa kimtandao na...