PRIME Simba yakaribia kukamilisha usajili wa Ngoma Dar es Salaam. Simba inakaribia kukamilisha usajili wa nyota wa Al Hilal ya Sudan, Fabrice Luamba Ngoma kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mashindano...
PRIME Vigogo FIFA, CAF waiteka Dar Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya Ligi ya Mpira wa Miguu...
Zahera awapa msala mastaa Yanga KIKOSI cha Yanga kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, huku Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga kwa soka la vijana, Mwinyi Zahera akiwaachia msala mastaa wa timu...
NBC Dodoma Marathon yazinduliwa, kusaidia matibabu saratani ya shingo ya kizazi Dodoma. Benki ya NBC imetangaza kufanyika mbio kubwa za NBC Dodoma Marathon Julai 23, 2023 mkoani Dodoma lengo kuu ikiwa ni kukusanya fedha za kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya...
PRIME Maajabu timu ZPL mbele wembe, nyuma uchochoro ZANZIBAR. LIGI Kuu Zanzibar (ZPL) imesimama kupisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza Desemba 28 mjini Unguja yakihusisha timu mbalimbali kutoka Tanzania Bara, Zanzibar...
Hizi hapa sababu tatu zitakazomfukuzisha Amrouche Stars TAIFA Stars inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumapili kuvaana na Zambia kwenye mechi ya pili ya Kundi F ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 baada ya awali kufungwa 3-0 na...
DC Hanang apongeza bonanza la wanafunzi kuwasaidia kisaikolojia Hanang. Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Janeth Mayanja amepongeza kufanyika kwa bonanza maalum la michezo kwa wanafunzi kutoka shule nane za msingi walioathirika na maporomoko ya matope wilayani humo...
PRIME Kolabo ya Nabi, Gamondi ilivyoibeba Yanga CAF Vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga moto wake unazidi kuchoma hadi kwenye michuano ya kimataifa baada ya msimu huu kuweka rekodi kadhaa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikitinga robo fainali ikiwa ni...
PRIME Diarra anavyoiweka Yanga tumbo joto DJIGUI Diarra kimemnogea. Ameiteka namba kwenye kikosi cha Mali na sasa amefuzu 16 Bora. Atakiwasha na Burkina Fasso ya Azizi Ki wiki ijayo nchini Ivory Coast. Lakini kiwango chake ambacho...
Taifa Stars fainali tatu, pointi tatu TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeaga michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023, ikiwa imeandika historia, huku kaimu kocha mkuu, Hemed Suleiman 'Morocco' akiweka...