Messi: Kutoka winga mwenye kasi hadi mfalme wa soka la akili IWAPO Argentina itafanikiwa kutetea ubingwa wa Kombe la Dunia 2026, jambo ambalo halijawahi kufanywa na taifa lolote tangu Brazil mwaka 1962, basi jina la Lionel Messi litakuwa kiini cha...
Fifa 'yauza' Kombe la Dunia SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa) limeshutumiwa “kuuza roho ya soka” kutokana na mpango wa kupiga bei haki za kibiashara za Kombe la Dunia wenye thamani ya Dola 20 bilioni.
Bifu la Trump, Lebron limenoga RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameibua mjadala mkubwa baada ya kumshambulia nyota wa NBA, LeBron James, kwa kumuita " mbaguzi," saa chache tu baada ya mkongwe huyo kuthibitisha kuwa ataendelea...
What Football Fans Should Understand Before Trying Crash Games A Tanzanian football fan understands pressure in practical ways. A derby in Dar es Salaam can turn one loose pass into a week of argument. A late penalty can change a table, a mood, and a small...
Liverpool katika hali mbaya kabla ya msimu mpya LIVERPOOL imeonywa kuwa inapaswa kumuunga mkono kocha wake mpya Andoni Iraola kwa kufanya usajili zaidi, baada ya kikosi hicho kuingia kwenye mgogoro mkubwa wa safu ya ulinzi huku msimu mpya wa...
Unamuonaje Schwarzenegger? Chukua hii UNAMKUMBUKA mkali wa filamu za mapigano Arnold Schwarzenegger? Mwamba alicheza picha kibao ambazo zilimfanya kuwa bilionea, na kumfanya azungumzwe sana katika mitaa na vijiwe vingi vya Bongo enzi...
PRIME NIONAVYO: Tamu na chungu ya kamari michezoni inaweza kuwa hatari kwa wachezaji binafsi na maendeleo ya michezo kwa ujumla. Nionavyo mimi, elimu, tahadhari na hata adhabu kwa wanamichezo na taasisi za michezo kuhusiana na suala zima la...
NIONAVYO: Tutafute mafanikio michezoni kwa hatua za maendeleo limekuwa gumu kama kupata tone la maji kwenye nchi yenye mafuriko na mvua nyingi. Tunashindwa kuandaa wanamichezo wazuri katika nchi ya watu takribani milioni 60. Tunashindwa kutafuna mfupa...
RIPOTI MAALUM: Tatizo kuwafungia waamuzi hakujatoa majibu anapamudu zaidi kama ilivyo kwa mwandishi wa habari mwingine anaandika habari za michezo mwingine habari za kijamii. “Kozi ni moja lakini unapomaliza mtu anaamua kujikita sehemu moja ndio...