PRIME Ratiba na miundombinu ni kansa ya ligi yetu Ligi Kuu ya Tanzania inashika namba sita barani Afrika kwa ubora.
Taifa Stars ‘do or die’ Morocco HAKUNA namna. Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya Tunisia. Ni ushindi pekee ndio unaweza kuifanya timu hiyo isalie Morocco ama ifungashe virago kurudi nyumbani kama ilivyokuwa...
Ghafla ubingwa wa Ligi Kuu England hugeuka mbio za farasi watatu Na timu zote tatu zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu England zilishinda mechi zao Jumamosi, na hali ikaendelea kubaki kama ilivyokuwa.
Adhabu za Ligi Kuu Bara zaibua maswali KUNA maswali mengi yameibuka baada ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Desemba 15, 2025 ilipopitia mwenendo na matukio...
NBA All-Star 2026 inawahusu NBA All-Star Game ni mchezo wa kila mwaka unaoandaliwa na Chama cha Taifa cha Mpira wa Kikapu Marekani, ukiwakutanisha wachezaji 24 bora wa ligi hiyo. Tangu mwaka 2022, mchezo huu umekuwa...
Simulizi ya Osimhen inavyowapa moyo vijana choka mbaya WANASEMA kuzaliwa masikini ni jambo moja, lakini kufa ukiwa masikini ni jambo jingine.
Nyuma ya pazia pamba za mastaa wa soka Ulaya UNAISHIJE bila kujua Kylian Mbappe anapiga mapigo gani anapotoka katika mitoko yake ya kawaida? Vinicius Junior je? Vipi kuhusu supastaa kinda wa soka anayeutikisa ulimwengu wa sasa Lamine Yamal?