Lokosa is Red Simba SC leo Januari 25 wamemtambulisha rasmi mshambuliaji wao toka Nigeria, Junior Lokosa ambaye aliwasili nchini Jumamosi Januari 23. Kupitia akaunti za mitandao ya kijamii ya Simba...
Uncle Shamte ajitoa ishu ya Mzee Nyange shabiki na mdau kujaribu kutoa maoni yake kuhusu habari nzima. Akijibu swali la mwandishi lililouliza namna siri alifichua mama Dangote ilivyomgusa, Uncle Shamte amesema haijabadilisha...
Didier Gomes kocha mpya Simba KLABU ya Simba rasmi imemtambulisha Didier Gomes raia wa Ufaransa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na ataanza kufanya majukumu yake. Akimtambulisha mbele ya Waandishi wa Habari, Mtendaji Mkuu wa...
Utajiri wa Mo Dewji unatisha Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ametajwa kushika nafasi ya 13 katika orodha ya watu 18 tajiri barani Afrika inayoongozwa na Taikuni wa Nigeria, Aliko Dangote. Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa...
Tanesco yainyuka Polisi 2-0 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoa wa Geita leo Januari 23, 2020 liliandaa Bonanza lililofanyika katika viwanja wa Kharumwa ambalo limejumuisha michezo mbalimbali. Katika mchezo wa mpira...
Kaze aleta fundi mwingine Yanga KOCHA wa Yanga, Mrundi Cedrick Kaze jana aliwafanyia usaili makocha wanne wazawa, ili kupata mrithi wa Juma Mwambusi aliyeng’oka Jangwani. Mwambusi inaelezwa kwamba ameomba kukaa pembeni...
Simba kutesti na Mazembe Dar MABOSI wa Simba jana wamemshusha kocha wa makipa, huku wakimsainisha kiungo fundi kutoka DR Congo, Doxa Gikanji, wakati wakimsubiri kocha mkuu mpya kutua nchini kuanzia leo ili kuwahi kuliamsha...
Simba, Namungo kula viporo Februari 4 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa taarifa ya kurejea kwa Ligi Kuu Bara baada ya kusimama kupisha michuano ya Mapinduzi Cup na Chan yanayoendelea nchini Cameroon. TPBL imeeleza mechi za...
Mkude: Simba naombeni msamaha Siku 24 baada ya kutoka taarifa ya Uongozi wa klabu ya Simba kumsimamisha mchezaji wao nyota, Jonas Mkude hatimaye amejitokeza hadharani na kuomba radhi. Taarifa ya kusimamishwa Mkude ilitoka...
Simba wamalizana na kiungo Mcongo Baada ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15 , Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa orodha ya wachezaji wote waliosajiliwa na klabu mbalimbali hapa nchini. Katika usajili huo...