Mghana Yanga aanza na mkwara KOCHA mpya wa viungo wa Yanga, Mghana Eden Mortosin amesisitiza kwamba yeye falsafa yake ni ushindi tu na haamini kwenye matokeo mengine. Eden ambaye amekulia Canada akifanikiwa zaidi na klabu...
Simba yawavuruga Al Merrikh KATIKA kinachoonekana bado suala la Simba kuwapora kocha wao, Didier Gomez De Rosa, limewapa mchecheto, Al-Merrikh kumtimua kocha wao Miodrag Jesic, raia wa Serbia, siku saba tu tangu...
Masau ampiga dongo Morrison ILE staili ya ushangiliaji ya nyota wa Simba, Benard Morrison kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Al Hilal ya Sudan imezua mijadala huko mitandaoni na mmoja wa wadau ambaye hajapitwa na hilo ni Masau...
Mastaa Yanga tumbo joto KITENDO cha kocha Yanga, Cedrick Kaze kuwatimua nyota wake waliochelewa mazoezini kinadaiwa kuzua jambo huko Jangwani huku wadau wakichelekea kwa kusema yalikuwa maamuzi sahihi na walipaswa...
Beki Mzimbabwe wa Simba achimba mkwara SAA chache tu tangu asainishwe mkataba wa kukipiga Msimbazi, beki mpya wa kati kutoka Zimbabwe, Peter Muduhwa amechimba mkwara kwa mabeki wa kati aliowakuta kikosini akiwamo Joash Onyango na...
Nkamia : Nitajenga umoja Simba, tusiwaze sana 20 Bilioni KAMPENI za wagombea uenyekiti wa Simba zinazidi kusonga mbele kwa wagombea wawili waliopitishwa kuchuana kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika Februari 7 kuendelea kutambulisha sera zao na...
Barbara: Tulitaka kuialika Yanga Super Cup lakini... Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema walikuwa na wazo la kuishirikisha Yanga katika mashindano yao ya wiki moja ya ‘Simba Super Cup’. Mashindano hayo ya Simba...
Huko Yanga kumekucha HUKO Yanga kumekucha. Kocha wa Yanga, Cedrick Kaze jana amefanya mazoezi kwa siku ya pili na kikosi chake wakirejea kutoka mapumziko huku akisisitiza vijana wake wako vizuri. Kaze juzi Jumatatu...
Papaa Zahera huyu hapa... Mapema wiki hii kamera za gazeti la Mwanaspoti lilimnasa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zaera akitoka hotelini. Zahera ambaye alikuwa pia Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina FC anahusishwa...
Gomes atoa mbinu tatu kali Simba KOCHA mpya wa Simba, Didier Gomes ameanza kibarua rasmi cha kuinoa timu hiyo muda mfupi baada ya kutambulishwa na baada ya kuongoza mazoezi ya kwanza juzi na jana jioni, ameanika mambo matatu...