Huyo Balama ndo basi tena! KIUNGO machachari wa Yanga, Mapinduzi Balama ni kama ameonyeshewa mlango wa kutokea kutokana na kupotezewa kimtindo baada ya kupewa matibabu ya kutosha.
Duh! Waarabu kuikomoa Simba WAARABU wamechukizwa na kipigo. Bao la kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone dhidi ya Al Ahly linaelezwa kwamba limewafanya mabosi wa klabu hiyo ya Misri kutaka kumng’oa Konde Boy.
Profesa J aeleza haya baada ya kutajwa na Magufuli Mbunge wa zamani wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu Profesa J amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli kuomba apigiwe wimbo wa Baba ni mwendelezo wa kiongozi mkuu huyo wa nchi kuwa shabiki...
Waziri Bashungwa mgeni rasmi Kili Marathon 2021 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za mwaka huu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zinazotarajiwa kufanyika Jumapili...
Lwanga: Hawatuwezi! Kiungo mkata umeme wa Simba, Thadeo Lwanga amesema mchezo wa leo walikuwa wanahitaji alama tatu na wamezipata mbele ya mabingwa mara 9 wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri. Simba...
MKOJANI-3: Huyo Tin White mbona freshi tu! wanasema tunabebana, yaani kwa mfano walikuwa wanasema mimi sijui kuigiza, nabebwa na kina Tin White. Kwahiyo tukasema tuache kuigiza pamoja kwanza ili tuwaonyeshe watanzania uwezo wetu na...
Hesabu zaibeba Yanga KITENDO cha Simba kuwa na nafasi ya kuwatoa kileleni ikiwa watashinda mechi zao za viporo kwenye Ligi Kuu pengine kinawapa wasiwasi mashabiki wa Yanga ambao timu yao inaongoza msimamo wa...
Msolla atolewa uwanjani chini ya ulinzi Wakati mashabiki wa Yanga wakichukizwa na matokeo ya sare ya mabao 3-3 hasira zao zilielelekezwa kwa Mwenyekiti wa klabu Dk Mshindo Msolla. Tukio hilo lilijiri dakika chache mara baada ya...
Simba yapata pigo, Maalim Seif afariki dunia KLABU ya Simba imepata pigo baada ya kumpoteza mwanachama wake na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia leo saa 5 asubuhi katika Hospitali ya...
Mobetto na Rayvanny wahojiwa, waachiwa Video ya msanii Shaban Mwakyusa maarufu Rayvanny na Paula mitandaoni yaibua mapya. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mkali huyo wa wimbo wa Kiuno na Teamo na mwanamitindo Hamisa Mobetto kuhojiwa...