Ajibu kupigwa chini msimbazi NYOTA wa Simba, Ibrahimu Ajibu huenda akaonyeshwa mlango wa kutokea mwishoni mwa msimu kama asipoonyesha mabadiliko yoyote, maana inaelezwa kiwango chake hakimvutii kocha wa timu hiyo, Didier Gomes.
Migne apewa mechi 4 Dar Uongozi wa Yanga kupitia kwa Senzo Mazingisa licha ya kutoweka wazi jina la Kocha huyo lakini amethibitisha kwamba atatua nchini kabla ya mechi ya kwanza ya mashindano. Mwanaspoti limejiridhisha...
Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Mpango apendekezwa Makamu wa Rais Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Jina la Mpango limesomwa bungeni mjini Dodoma leo Jumanne...
Migne ashusha Mkenya Yanga WAKATI mashabiki wa Yanga wakihesabu saa tu kabla ya kumpokea Kocha Mkuu wao, Sebastien Migne, tayari kocha huyo akishirikiana na mabosi wa klabu hiyo wamefanya mambo yao kimya kimya kwa...
Yanga ikizubaa tu Mukoko Tonombe anasepa INASEMEKANA kiwango cha kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kimeikuna miamba ya soka la Afrika Kusini, Kaizer Chiefs.
Simba waibuka kivingine Dar UTAMU wa michuano ya kimataifa umebadili mikakati ya Simba na sasa wameibuka na mikakati mipya ya kusajili vifaa mapema kabisa. Walianza na Perfect Chikwende wa FC Platinum ya Zimbabwe waliyoitoa...
Hivi ndivyo Magufuli atakavyozikwa Ni huzuni na majonzi. Ndivyo unavyoweza kuizungumzia siku ya leo Ijumaa Machi 26, 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi wa Serikali, majeshi ya ulinzi na usalama, vyama vya...
Hivi ndivyo Magufuli atakavyozikwa Ni huzuni na majonzi. Ndivyo unavyoweza kuizungumzia siku ya leo Ijumaa Machi 26, 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi wa Serikali, majeshi ya ulinzi na usalama, vyama vya...
#LIVE: Ibada mazishi ya Magufuli Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ataongoza viongozi wa Serikali, majeshi ya ulinzi na usalama, vyama vya siasa, dini na wananchi wa mkoa wa Geita katika mazishi ya hayati John Magufuli...