Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yanga ikizubaa tu Mukoko Tonombe anasepa

Muktasari:

INASEMEKANA kiwango cha kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kimeikuna miamba ya soka la Afrika Kusini, Kaizer Chiefs.

INASEMEKANA kiwango cha kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kimeikuna miamba ya soka la Afrika Kusini, Kaizer Chiefs.

Za Chinichini imepenyezewa kutoka Sauzi kuwa Kaizer inamfuatilia kwa ukaribu kiungo huyo wa kimataifa wa DR Congo.

Kutokana na uwepo wa uvumi huo, Yanga wanapaswa kuwa makini na mchezaji wao huyo ambaye amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi chao vinginevyo inaweza kula kwao.

Yanga inakumbuka ilipigwa bao na Simba kwa Bernard Morrison hivyo kama itazembea tena kwa Mukoko hasa kwenye ishu za kimkataba inaweza kumpoteza mchezaji huyo.