Mjadala gari la Diamond na ukweli kuhusu magari ya bei mbaya Achana na ule mjadala ulioshika kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu gari aina ya Cadillac Escalade Sky Captain alilonunua msanii wa Tanzania, Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz.
Nyoni kugawa tiketi 50 za FA bure MCHEZAJI wa Simba, Erasto Nyoni ameahidi kugawa tiketi 50 kwa mashabiki wa timu hiyo mjini Songea kwa ajili ya kuhudhuria mechi ya Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Azam unaotarajiwa kuchezwa...
Vijana 10 waonwa na Cambinasso kliniki ya kusaka vipaji Moro Vijana 1680 katika Manispaa ya Morogoro na vitongoji vyake wamejitokeza kwa kujiandikisha kuingia katika programu ya kliniki ya soka ya kusaka vijana wenye vipaji vya soka ili kujiunga katika kituo...
Klabu ligi kuu zaonywa kimataifa BAADA ya Tanzania kupata nafasi nne za ushiriki wa klabu katika michuano ya Afrika mwakani (CAF), mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe la Shirikisho, makocha wa klabu hizo wamekuwa na maoni...
Wachezaji Mtibwa Sugar waula MABINGWA watetezi wa soka la vijana Mtibwa Sugar U-20 wamerejea mjini Morogoro na kupewa mapokezi ya kifahari baada ya vijana hao kuibuka kuwa mabingwa wa taji hilo dhidi ya Yanga. Mtibwa Sugar...
Mgunda: Mapambano yanaendelea inasalia kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimum ujao. "Tunatambua umuhimu mkubwa wakuibakisha timu hii kwenye Ligi kuu Tanzania Bara na hii nim kutokana na umuhimu kwa wakazi wetu wa...
Azam inatema nyota wa kigeni AZAM FC imeanza hesabu za kuboresha kikosi chao na katika ramani ya usajili wao kuna mastaa watatu kutoka mataifa mbalimbali watapisha nafasi. Taarifa kutoka kikosi kazi cha maskauti wa timu...
Prison, Coastal Union shoo ya kibabe Timu ya Tanzania Prison imeshindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 2-2 dhidi ya Coastal Union katika uwanja wa Nelson Mandela Mkoani...
Manji rasmi Yanga, kuibukia mkutanoni Jumapili NI rasmi kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji yuko njiani kurejea Jangwani na Mwanaspoti limejiridhisha kwamba amelipia kadi yake ya uanachama Ijumaa iliyopita Jijini Dar es Salaam.
Yanga yatua kwa Makambo WAKATI mashabiki wa Yanga wakiendelea kujiuliza mabosi wao wanataka mshambuliaji wa gani ili kumsajili kwa lengo la kuimarisha safu yao ya ushambuliaji, lakini habari mpya ni kwamba straika...