Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8304 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kambi ya Simba noma, yazikwepa Al Ahly, Zamalek

    JUMAPILI ya Agosti 8, Simba itakwea pipa kuelekea kambini kwenye mji wa Kifahari wa Alexandria nchini Misri. Alexandria inasifika nchini humo kama mji wa Kitalii na wenye maraha zaidi na ni...

  2. Kilichomng’oa Manara Simba hiki hapa

    MWISHO wa zama. Kama utani Haji Manara leo hii amebaki kuwa mwanachama na shabiki tu wa Simba, baada ya kupigwa chini na nafasi yake kupewa aliyekuwa ofisa habari na kaimu katibu mkuu wa klabu...

  3. Kamwaga: msinifananishe na Manara

    SIKU moja baada ya kuteuliwa na uongozi wa Simba kuwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Ezekiel Kamwaga amesema kuwa asifananishwe na msemaji aliyeondoka klabuni Haji Manara katika...

  4. Kauli ya kwanza ya Manara baada ya kutemwa Simba

    Aliyekuwa Msemaji wa Simba, Haji Manara amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya uongozi wa timu hiyo kutoa taarifa ya kuachana nae leo Julai 28, 2021. Nafasi ya Manara imezibwa na mwanahabari...

  5. Yanga, Azam kuanza hivi Kagame

    HATIMAYE makundi ya michuano ya Cecafa Kagame Cup 2021 yamepangwa huku Tanzania Bara ikiwakilishwa na Yanga, Azam huku Zanzibar ni KMKM.

  6. Tanzania yatinga fainali CECAFA

    TIMU ya Tanzania chini ya miaka 23 imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la CECAFA kwa vijana baada ya kuifunga Sudan Kusini bao 1-0, katika hatua ya nusu fainali mchezo uliopigwa katika...

  7. Tanzania, Sudani Kusini hakuna mbabe

    DAKIKA 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika kwa timu ya Tanzania kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Sudani Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la CECAFA kwa vijana chini ya miaka 23 mchezo...

  8. Lusajo, Mhilu kuiongoza Tanzania

    WACHEZAJI Reliants Lusajo na Yusuph Mhilu ni miongozi mwa wachezaji 11 waliochaguliwa na kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Sudani Kusini, kwenye mchezo...

  9. Metacha kuikosa nusu fainali Cecafa

    mabadiliko kwenye idara hiyo kwa kutoa nafasi kwa magolikipa Daniel Mgore au Wilbol Maseke. Poulsen alisema kuwa “Ni bahati mbaya kwa Metacha kukosa mchezo huo muhimu wa nusu fainali kwa sababu...

  10. Mangalo ishu ya Simba ipo hivi

    KAMA mambo yakienda vyema, beki wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo anaweza akala shavu Simba na akashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (Caf) ya mwaka huu. Awali ilidaiwa Yanga walikuwa...

Previous

Page 783 of 831

Next