PRIME Bao safi la Chama lilivyoficha uchafu wa watani WASWAHILI husema umaridadi huficha umasikini. Ukiwa nadhifu yaani unavaa vizuri watu hawatajua dhiki uliyoibeba nafsini mwako.
Mbio za ubingwa EPL zashika kasi baada ya vipigo Ulaya BAADA ya wiki ngumu barani Ulaya kwa klabu za England, timu hizo zinarejea katika majukumu ya Ligi Kuu England leo huku mbio za ubingwa na kuepuka kushuka daraja zikifikia hatua muhimu
Eti arsenal bingwa? Pep kakataa hilo KAMA unabisha, wewe bisha tu, ila kuna asilimia kubwa Arsenal ikawa bingwa msimu huu, baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton, juzi Jumamosi usiku. Hata hivyo, Kocha wa Manchester City...
PSG 5-4 BAYERN: Ngoma hii itarudiwa kesho? Mengi yameshasemwa kuhusu faida na hasara za mfumo uliopanuliwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini jambo moja halijawahi kujadiliwa; uwezo wa hatua za mtoano kutoa burudani. Na Jumanne, wiki...
WANAAMUA! Usiku mdogo wa Ulaya unavyomalizika BAADA ya zaidi ya miaka 40 tangu walipocheza nusu fainali ya mwisho ya mashindano makubwa ya Ulaya, Nottingham Forest wanarejea hatua hiyo muhimu wakitarajia kumenyana na Aston Villa katika mechi...
Ninja: Championship ni nguvu, Ligi Kuu mbinu KITU pekee asichokubaliana nacho beki wa kati anayecheza Transit Camp ya Ligi ya Championship, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ni kutokata tamaa, kwa kuwa kila kinachotokea katika maisha anakichukulia...
Mambo matano magumu kwa Maresca KOCHA mpya wa Manchester City, Enzo Maresca ameshaanza kazi, akiweka sawa mambo kabla ya kuanza na mechi ya ufunguzi wa msimu wa 2026/27 ambayo itakuwa Ngao ya Jamii itakayopigwa Agosti 18, mwaka...
Ushauri kwa Arteta, mabosi Arsenal! Mabadiliko ambayo Arsenal wanapaswa kufanya ili kupiga hatua Inayofuata baada ya kushindwa katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hii ni zaidi Sundowns, FAR Rabat kwa Wareno hao HATMA ya mfalme wa Ligi ya Mabingwa Afrika itajulikana leo, Jumapili nchini Morocco, lakini simulizi ya kuvutia ya mchezo huo wa marudiano inakwenda mbali zaidi ya kilichotokea Pretoria na hapo...