Mwanamuziki Defao afariki dunia Mwanamuziki wa Rhumba, Le General Defao Matumona amefariki dunia jana jioni Jumatatu Desemba 27, 2021 jijini Doula nchini Cameroon.
Biashara United inavyoshindwa biashara ya soka MKOANI Mara pale mjini Musoma kuna timu ya soka inayoitwa Biashara United Mara inayoshiriki Ligi Kuu Bara.
Haji Manara aiombea Simba Baada ya kuahirishwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Kagera Sugar na Simba uliokuwa uchezwe leo katika Uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera, kutokana na wachezaji 16 wa Simba kuonekana kuwa na...
Morrison, Bwalya kuikosa Kagera SIMBA ipo mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, huku ikiwakosa nyota wake tisa, wakiwamo Bernard Morrison na Rally Bwalya ambao kwa siku za karibuni...
Vigogo Simba wavamia TFF watua na faili zito MAMBO yanaonekana kuwa magumu upande wa viongozi wa Simba baada ya jana mabosi wa klabu hiyo kutinga kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanya kikao cha saa 2 ili kumaliza...
Koffi jela miezi 18 kwa utekaji Mwanamuziki nguli wa mtindo wa Rumba kutoka DRC, Koffi Olomide amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela kwa kuwateka nyara madensa wake wa zamani.
Simba katika njia ngumu ya kusaka taji Afrika Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba, wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-2 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika...
Simba v Yanga miaka 60 ya Uhuru KAMA utani vile. Tanzania Bara imetimiza Miaka 60. Ndio, juzi Alhamisi ilikuwa kilele cha Miaka 60 tangu Tanganyika kupata uhuru wake kutoka kwa Wakoloni. Tanganyika ilipata uhuru wake Desemba 9,...
TFF yaanika kisa cha Barbara kuzuiwa kwa Mkapa SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limefafanua taarifa ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia kushuhudia timu yake ikicheza dhidi ya Yanga leo uwanja wa Mkapa.
Polisi watoa tamko kuelekea derby ya Simba v Yanga Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi unaimarishwa kwa kiwango cha hali ya juu katika mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya tarehe...