Matano, Ouma wataka VAR Ligi Kuu kuegemea upande mmoja .Wachezaji wetu lazima wafunzwe wakiwa Kenya iliwatakapo enda nje kucheza wawe makini kuepukana na makosa ambayo yatawaweka taabani na waamuzi wa mechi .’Alisema Ouma...
Kisa CAF, Yanga v Namungo zapewa tarehe BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za kufanyika kwa michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC ambayo hapo awali haikupangiwa tarehe.
Beki Orlando kuikosa Simba Beki wa kushoto wa Orlando Pirates Paseka Mako aliondolewa uwanjani hapo jana kwa gari la wagonjwa baada ya kuumia katika mechi ya DStv Premiership dhidi ya Baroka FC kwenye Uwanja wa Peter...
Mume wa mwimbaji wa 'Ekwueme' akamatwa Mume wa mwanamuziki nyota wa nyimbo za injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu aliyefariki mwishoni mwa wiki kwa madai ya ugonjwa wa saratani ya koo, amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika...
ZA NDAANI KABISAA: Molinga, Chirwa kupigwa chini HAKUNA namna, wajiandae tu. Ndio, washambuliaji wa zamani wa Yanga wanaokipiga Namungo kwa sasa, David Molinga ‘Falcao’ na Obrey Chirwa ni miongoni mwa wachezaji watakaotemwa na timu hiyo...
Nabi: Tunaanza na hawa kwanza KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema anamalizana kwanza na Geita Gold katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), kisha inaanza mipango ya pambano lao la Ligi Kuu Bara...
Simba yapewa mtego wa Orlando SIKU ya sikukuu ya Pasaka Aprili 17, Simba watakuwa Dar es Salaam wakikiwasha na Orlando Pirates kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho lakini wakaonyeshwa mitego...
Onyango asongezwa kwa wanaomtamani BEKI wa zamani wa Gor Mahia na Western Stima ambaye kwasasa anakipiga na Simba ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Joash Onyango, amekuwa gumzo hususan baada ya ratiba ya robo fainali...
Mugalu atuma salamu Yanga WAKATI pambano la watani wa jadi likikaribia, straika wa Simba, Chris Mugalu amesema mabao yake mawili aliyofunga juzi dhidi ya USGN na kuiwezesha timu yake kutinga robo fainali ya Kombe la...
Aisha Masaka Mtanzania anayebeba matumaini BK Hacken WIKI iliyopita wadau wa soka la Tanzania walipokea habari njema za mchezaji kinda wa kike, Aisha Masaka kuula huko Sweden ambako alitambulishwa, Alhamisi na kuanza rasmi mazoezi ikiwa ni siku...