Paula afanya jambo, akwepa kumzungumzia Rayvanny Paula Paul ambaye ni mtoto wa msanii Kajala Masanja anatarajia kufungua duka lake la nguo alilodai limegharimu Sh500 milioni. Hilo limebainika leo Julai 3, 2022, alipokuwa akihojiwa katika...
TTB kusapoti soka la wanawake Kigoma ikilenga kuhamasisha utalii Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imedhamiria kutumia mpira wa miguu hasa kwa wanawake kutangaza na kuhamasisha utalii wa ndani na mataifa yaliyo katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hilo limekuja...
ZA NDAANI KABISA: Panga la Vigogo linakuja Yanga HUKO Jangwani mambo ni moto, kwani baada ya mabosi wapya wa klabu ya Yanga kuingia madarakani chini ya Rais Injinia Hersi Said, Za Ndaani Kabisa zinasema kwa sasa lipo panga la mabadiliko...
Diamond, Harmonize wamvuta Superstar M.E Tanzania Mkali wa Afropop kutoka nchini Afrika Kusini, Uwakina Emmanuel maarufu Superstar M.E anayetamba na wimbo wa Oginig amesema katika ziara yake ya kimuziki bara la Afrika atakanyaga ardhi ya...
Yanga yampiga mtu 9 huko Avic, Mayele atetema tena YANGA imecheza mchezo wa pili wa kujipima nguvu wakishusha kipigo kizito kwa Friends Ranger wakishinda kwa mabao 9-0. Mchezo huo ambao umepigwa leo asubuhi mshambuliaji Fiston Mayele ameendelea...
Nyie Okwa anatisha, aamsha vita ya namba Simba KAMBI ya Simba imezidi kunoga kwa kocha Zoran Maki akiendelea kuwapika vijana wake, huku akimkomalia John Bocco, lakini nyota mpya wa timu hiyo Nelson Okwa amevunja ukimya na kuamsha vita ya...
Kisa ukata Tanzania yajitoa kikapu Afrika Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limeeleza kuitoa timu ya wavulana kushiriki mashindano ya Afrika ya kutafuta tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia kwa vijana chini ya miaka 18.
Diamond, Rayvanny waonekana Basata Ikiwa zimepita wiki mbili tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwayakyusa'Rayvanny', kuachana na lebo ya WCB, ameonekana viunga vya ofisi za Basata pamoja na aliyekuwa bosi wake Naseeb...
Si mchezo, kwa makipa hawa Azam, kina Mayele, Phiri kazi wanayo KAMBI ya Azam FC mjini El Gouna, Misri ipo katika siku ya nne leo Jumanne, huku mambo yakizidi kunoga kidogokidogo, ambapo kila kocha amekwishaanza kuwanoa watu wake. Azam FC ina makocha na...
MZEE WA UPUPU: Badru anahukumiwa na kitu kimoja, kufanya kazi Azam . Inakuwaje vyeti siyo sahihi na vikaleta matokeo ya namna hii? Hatujiulizi kwamba labda Sisi ndiyo hatuko sahihi kuvikataa vyeti vya namba hiyo? Na je tunatoa tuzo kwa cheti kwa kocha? Sawa, labda...