MTU WA MPIRA: Yanga inanufaika vipi mauzo ya jezi zake? YANGA imezindua jezi rasmi za mashindano msimu wa 2022/23. Ni msimu wa nne sasa Yanga imekuwa ikifanya hivyo baada ya kuingia mkataba na GSM Sports kwa ajili ya mauzo hayo. Ni wazi katika miaka...
ZA NDAANI KABISA: Dilunga kuendelea kulipwa Simba LICHA ya mkataba wake kumalizika, lakini kiungo wa Simba, Hassan Dilunga ataendelea kulipwa kiasi cha pesa kutoka kwa waajiri wake hao kwani majeraha yanayomuweka nje ya uwanja aliyapata akiwa...
Nabi afanya umafia, amteka straika mpya Simba SIMBA inapambana kumaliza usajili wa kinara mmoja wa mabao ambaye klabu yake inaweka ngumu, lakini kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amefanya umafia akijifungia na staa huyo kupiga stori.
Kile chuma hiki hapa! Ni straika Mserbia, atambulishwa Simba SIMBA hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha nyota mpya kutoka Nigeria, Nelson Okwa ambaye jana aliungana na wenzake mazoezini, mabosi wa klabu hiyo wamewasapraizi mashabiki wao kwa kumleta...
Okwa, Kanoute waliamsha Simba NYOTA saba waliokwama kuwepo kambi ya maandalizi ya timu ya Simba kwa msimu mpya (pre season) akiwamo Nelson Okwa na Sadio Kanoute jana walijumuika wenzao kwenye mazoezi ya timu hiyo iliyorejea...
Diamond aibukia kampeni za Raila Odinga Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz leo ametumbuiza kwenye mkutano wa kufunga kampeni za mgombea urais wa Kenya kwa tiketi ya Azimio...
LIVE KUTOKA MISRI: Ratiba ipo poa, lakini... AZAM FC bado ipo kambini mjini El Gouna, Misri na juzi usiku ilicheza mechi ya pili ya kujipima nguvu dhidi ya Grand na kushinda bao 1-0 lililowekwa kimiani na nyota mpya, Tape Edinho, lakini...
MOALLIN: Tunajenga timu mpya, furaha IKIWA katika wiki ya pili ya kambi ya wiki tatu mjini El Gouna, Misri, Azam FC wako ‘bize’ kuziba kila mwanya unaoweza kuwaharibia mipango yao msimu ujao.
Vijana wafurahia ofa ya kubet bure Dar es Salaam. Baadhi ya vijana wanaopenda mchezo wa kubet, wameelezea furaha yao baada ya kampuni mpya ya GwalaBet iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam kutoa nafasi moja ya kucheza bure kila...
Balaa zito Azam, sasa ni full sayansi mazoezini WIKI ya pili ya kambi ya Azam FC hapa El Gouna Misri imekuwa tofauti kidogo na ya kwanza. Wiki ya kwanza ilitawaliwa na mazoezi ya kujenga mwili na pumzi ambapo mwanzoni kulikuwa na vipindi...