Msiwape presha wachezaji mechi za Yanga na Simba KUMBUKUMBU mara zote huwa na umuhimu wa kipekee. Wiki iliyopita, Yanga walifungwa na watani wao wa jadi Simba bao 1-0.
Samatta anatuzalishia kina Diamond Platinumz wengi DUNIA imebadilika sana. Kabla ya Cristiano Ronaldo kutamba katika ulimwengu wa ubishoo na soka, zamani Waingereza walikuwa na mtu anaitwa George Best. Kipaji maridhawa cha soka. Waingereza...
Kombe la Dunia 2022 kuja na mpya RAIS wa Fifa, Gianni Infantino, anaendelea kusisitiza pendekezo lake la kupanua wigo wa timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2022 kutoka 32 hadi 48, kuwa litaongeza ujirani mwema baina ya nchi...
Enzi za ubabe wa Manchester United zimepita Mourinho na Ed Woodward walikuwa na mzozo mkubwa katika msimu huu kwa sababu ya kiwango kikubwa cha fedha kilichotumika bila kuonyesha faida yake haya yaliyotokea hayakushangaza mtu anayefuatilia...
Mastaa waliofariki dunia na umaskini wao IJUMAA iliyopita, alipumzishwa rapa lejendari Chris Kantai, 'Chris Kantadda' nyumbani kwao Ngong. Kantadda aliyevuma miaka ya nyuma alifariki dunia yapata wiki tatu zilizopita akiwa na umri wa...
Aussems: Siogopi kufukuzwa Simba SC Kocha huyo kutoka Ubelgiji na aliyeifikisha Simba robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita na kutetea taji la Ligi Kuu Bara, aliliambia Mwanaspoti kila kitu kinachoendelea juu yake...
Taifa Stars kufa au kupona Afrika Kaskazini TAIFA Stars leo itatupa karata yake ya pili katika mechi za kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika 2021 katika pambano dhidi ya Libya linalotazamiwa kuchezwa katika dimba la Mustapha Ben Jannet...
Madadi aitosa Simba, azuiwa getini Zanzibar WAZANZIBARI wana msemo wao ‘Ndio kwanza mkoko waalika maua’. Nami nasema ndio kwanza makala haya yanaanza kunoga.
Mateso ya Neymar yalitabiriwa tangu mwaka 1778 Wiki mbili zilizopita, mchezaji anayeitwa Neymar alikuwa tayari kutoa kiasi cha Pauni 17 milioni mfukoni kuipa PSG ya Paris ili arudi zake Barcelona.
Uhamisho wa Neymar barca umedunda hapa KATIKA dirisha hili la uhamisho lililofungwa Jumatatu, staa wa kimataifa wa Brazil wa PSG, Neymar alionekana yupo njiani kurudi Hispania, hasa katika klabu yake ya zamani Barcelona lakini ghafla...