Konate awagomea Waarabu, Madrid yakoleza moto BEKI wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Ibrahima Konate, 26, amekataa ofa nono kutoka timu ya Saudi Pro League jambo linalowapa Real Madrid nguvu na mzuka mkubwa katika kufukuzia...
PRIME Yanga yatumia mbinu za kimafia, yamshusha Conte ILE vita ya kuwania kiungo Moussa Bala Conte kutoka Guinea, imeisha baada ya Yanga kumtambulisha rasmi leo mchana ikiizidi kete Simba iliyoanza mapema kumtamani mchezaji huyo. Iko hivi.
Bi Star humwambii kitu kwa Simba na singeli Usemi wa mvumilivu hula mbivu ndiyo umemkuta mwigizaji mkongwe Shamila Ndwangila maarufu kama Bi Star ambaye hivi sasa anakula matunda ya kazi yake.
Mambo matano Thunder vs Timberwolves KULIKUWA na mitego mikali ya kudaka mpira, kupora na baadaye danki za maana yaani aina ya kutupia mipira kwenye kikapu kwa nguvu na ustadi kwa kuruka na kuushindilia mpira moja kwa moja nyavuni.
MZEE WA FACT: Harufu ya 1992 kwenye dabi ya 2025 Lakini hata hivyo hadi sasa hakuna uhakika wa kuwepo kwa mechi hiyo iliyokwama kufanyika Machi 8, 2025.
Christopher Nkunku aingia anga za Man United CHELSEA imeiambia Manchester United kwamba italazimika kulipa pauni 35 milioni iwapo inataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Christopher Nkunku, 27, katika dirisha hili la majira...
MKWANJA: Masupastaa 10 wenye thamani kubwa zaidi sokoni kwa sasa MASUPASTAA wa soka wenye thamani kubwa zaidi duniani wamewekwa hadharani, huku Ligi Kuu England ikiingiza mastaa wawili tu kwenye orodha hiyo.
No Yamal, no Salah, no Mayele... Kombe la Dunia litaleta bingwa wa kweli? IKIWA zimebakia siku mbili kabla ya mashindano ya Kombe la dunia la klabu kuanza huko Marekani, mjadala mkubwa umeibuka juu ya timu zilizofuzu na zile zilizoshindwa kufuzu michuano hiyo.
Wachezaji mpira wa kikapu wafurahia bonasi ya Locker Room ya betPawa Wachezaji wa mpira wa vikapu wa nchini wamefurahia malipo ya bonasi ya kushinda mechi maarufu kwa jina la Locker Room Bonus yaliyoanzishwa na wadhamini wakuu wa michuano ya ligi ya kikapu ya...
Sandro Mamukelashvili aandika historia akiibeba San Antonio Spurs MCHEZO wa NBA uliofanyika Alhamisi ulivutia hisia za mashabiki wengi kutokana na kipaji cha cha mchezaji wa San Antonio Spurs, Sandro Mamukelashvili, ambaye aliandika historia mpya katika ligi...