PRIME Maxi apewa gari mpya, afunguka mikakati kuiua Simba YANGA iko kambini kwaajili ya maandalizi ya kukutana na watani wao wa jadi Simba, kiungo wao Maxi Nzengeli amepata mzuka wa aina yake haswa kutokana na kiwango chake cha sasa huku akisema mechi...
Wababe wanne Ligi ya Mabingwa Ulaya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilimaliza hatua ya robo fainali juzi baada ya vigogo wa England Manchester City na Arsenal kuondolewa kwenye michuano hiyo kwa usiku mmoja
Nairobi United yaandika historia, yaitupa nje Etoile du Sahel ikitinga makundi Afrika KLABU ya Ligi Kuu ya Kenya, Nairobi United, imeandika historia baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza kabisa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiing'oa kwa penalti mabingwa wa zamani wa...
Wawakikishi wetu CAF malizeni kazi nyumbani WIKIENDI hii mashabiki wa soka la Tanzania Bara na Zanzibar wanatarajia kwa hamu kuona klabu zao zikikamilisha kazi katika mechi za marudiano za mashindano ya CAF.
El Clasico ya kivingine itapigwa Estadio Santiago Bernabeu HAKUNA kitu kinachobamba mashabiki kama El Clasico. Mara zote kinapopigwa kipute cha Real Madrid na Barcelona, macho na masikio ya mashabiki wa soka duniani kote, vyote vinaelezwa mahali...
Arteta, Arsenal picha linaendelea ARSENAL imecheza mechi ya tano Ligi Kuu England, imeshinda tatu sare moja na kufungwa moja na katika msimamo ipo katika nafasi ya pili. Ina utofauti wa alama tano dhidi ya vinara Liverpool.
Cristiano Ronaldo atajwa bilionea wa kwanza mwanasoka MSHAMBULIAJI nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ametangazwa kuwa mcheza soka wa kwanza duniani kufikia utajiri wa bilionea, baada ya thamani yake ya mali kukadiriwa kufikia pauni 1.04 bilioni.
Wamiliki wa timu za NBA wanaoongoza kwa mshiko Kundi maarufu la hip hop Wu-Tang Clan liliwahi kuimba “cash rules everything around me.” likimaanisha pesa ndo mtawala wa kila kitu na ni wazi kwamba biti hili linaweza kutumika kuelezea maisha...