Kikosi Police pasua kichwa USAJILI uliotisha ambao ulifanywa na Kenya Police FC bado haujaanza kulipa na hii ndiyo sababu ya kocha mkuu John Bobby Ogolla maarufu Six-Million-Dollar Man kung’aka baada ya mechi dhidi ya...
PRIME MTU WA MPIRA: Kocha Azam FC anajichimbia kaburi lake mwenyewe AZAM FC imeamua kujiimarisha vilivyo kuelekea msimu mpya wa mashindano. Huhitaji kuwa na elimu ya Chuo Kikuu kuweza kuona hili kwani matajiri wa Chamazi wameamua.
Kisa mshahara, Simba gumzo Sauzi MWANASPOTI linajua Simba ina majina mawili makubwa ya makocha mezani, mmojawao atatangazwa kabla ya wikiendi ijayo. Lakini Wekundu hao wamekuwa gumzo kubwa kwa sasa kwenye vyombo vya habari vya...
Simba yafafanua sakata la FCC Dar es Salaam. Siku chache tangu Tume ya Ushindani (FCC) kutangaza kuanza kufanya uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba, inayowahusu wadaawa watano Bodi ya Wakurugenzi wa klabu...
Ubora wa siku 100 za Didier Gomes Simba NIANZE kwa kusema msimu wa 2020/2021 katika soka la Tanzania una matukio mengi na ratiba mbalimbali. Katika ratiba na matukio hayo tumeshuhudia katika ngazi za kimataifa ambapo klabu za Tanzania...
Al Ahly, Esperance ni mechi ya kisasi MABINGWA watetezi wa Klabu bingwa Afrika Al Ahly wanashuka dimbani kesho Juni 26 dhidi ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa pili wa marejeo kwenye uwanja wa Al Salam, mjini Cairo baada ya...
DStv yazindua promosheni mpya kwa mashabiki wa soka Dar es Salaam. Kampuni ya MultiChoice imezindua kampeni mpya ijulikanayo kwa jina la TV ni DStv ambayo inatoa ofa kwa mashabiki wa soka wa ligi kubwa za Ulaya ambazo kwa sasa zinaelekea kufikia...
Huko mkiani mambo ni moto Kenya MATHARE United na Vihiga Bullets zinachungulia kushushwa daraja Ligi Kuu Kenya huku ‘playoff’ ikiilenga Wazito FC wakati Nzoia Sugar bado hawapo salama. Kwa mujibu wa kanuni za FKF-PL, timu mbili...
Yanga yanukia CAF Super League MASHABIKI wa Yanga waliingiwa na ubaridi baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba watani zao, Simba ndio timu pekee itakayoshiriki michuano mipya ya CAF Super League, lakini kwa sasa hawapaswi kuwa na...
MAONI: Waamuzi Ligi Kuu jiangalieni HIVI karibuni gazeti hili lilichapisha makala takriban mara nne mfululizo katika matoleo yake za mahojiano maalumu na mwamuzi wa kwanza mwanamke hapa nchini, Elizabeth Kalinga ambaye pamoja na...