Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9068 results for Mwandishi :

  1. Chama akwama kambi Simba

    MSHAMBULIAJI Yusuph Mhilu alikuwa mchezaji wa kwanza kutinga kambi ya Simba iliyoanza baada ya mapumziko mafupi ya siku tano, huku kiungo Clatous Chama akikwama kutua kwa wakati tofauti na...

  2. Aussems: Morrison Yanga atacheza

    MAKOCHA wa zamani wa kigeni wa Simba na Yanga wamesema kwamba Bernard Morrison aliyepumzishwa na Simba mpaka mwisho wa msimu ana nafasi kwenye kikosi cha Jangwani kama akitulia. Patrick Aussems...

  3. Simba, Yanga yasogezwa tena mbele

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kusogeza mbele muda wa kuchezwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga kutoka saa 11:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Taarifa waliyoitoa mchana huu TFF imeeleza...

  4. Maandalizi yaiva Simba, Yanga

    Katibu wa Chama cha Soka mkoa wa Kigoma (KFA), Omary Gindi amesema maandalizi ya mchezo wa fainali kati ya Simba dhidi ya Yanga yanaendelea vizuri licha ya changamoto kadhaa ambazo wamekuwa...

  5. LIVE KUTOKA MISRI: Ratiba ipo poa, lakini...

    AZAM FC bado ipo kambini mjini El Gouna, Misri na juzi usiku ilicheza mechi ya pili ya kujipima nguvu dhidi ya Grand na kushinda bao 1-0 lililowekwa kimiani na nyota mpya, Tape Edinho, lakini...

  6. Bayo: Wanaopinga uongozi wangu RT hawajui watendalo

    Siku kadhaa baada ya kuibuka taarifa za kupingwa kuwa makamu wa rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo amesema walioibua mjadara huo hawajui watendalo. Bayo alichaguliwa miezi...

  7. NBC yamwaga mikopo ya mabasi klabu Ligi Kuu

    Mwanza. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara (NBC Premiere League) imesisitiza kuhusu dhamira yake ya kuboresha zaidi ligi hiyo kwa...

  8. Hashim afunguka kuvunjwa rekodi kadi za njano Dabi

    MEI 6, 2012 kwenye Uwanja wa Mkapa, Mwamuzi wa Mechi ya Watani wa Jadi, Hashim Abdallah alitoa kadi saba za njano pamoja na penalti tatu upande wa Simba rekodi ambayo haikuvunjwa upande wa kadi...

  9. Nyie Okwa anatisha, aamsha vita ya namba Simba

    KAMBI ya Simba imezidi kunoga kwa kocha Zoran Maki akiendelea kuwapika vijana wake, huku akimkomalia John Bocco, lakini nyota mpya wa timu hiyo Nelson Okwa amevunja ukimya na kuamsha vita ya...

  10. ZILITRENDI: Mserbia acharukia uongozi wa Yanga

    TAREHE kama ya leo ya Machi 24, lakini mwaka 2008 iliripotiwa taarifa ya Kocha Msernia, Dusan Kondic kuucharukia uongozi wa Yanga kwa madai ya kufanya mambo bila ya taratibu hali inayosababisha...

Previous

Page 728 of 907

Next