Arnelisa wa Ben Pol hatari! . Unajua kama watu mkiwa marafiki kabla ya ndoa, hata mnapofunga ndoa inakuwa ni kama mmefungua ukurasa mpya tu wa kitabu, wahusika mnabaki kuwa wale wale, kwahiyo hakuna kinachobadilika.” amesema...
HISIA ZANGU: Albadiri ya Tanga na usela wa Djuma Shaban kujaribu kuturudishia matukio ambayo wachezaji wa wapinzani wao waliwahi kufanya huko nyuma. Na hata wapinzani wao nao wakawa wanarudishia matukio ambayo wachezaji wa wapinzani wao waliwahi...
Yanga ikiboresha haya mbona freshi majukumu yao hayapo sawa. Ni wakati sasa wa kuangalia ufanisi wa kila mmoja wetu - iwe kwenye kamati zetu au sekretarieti ama hata wale wengine wanaotokea kwa wafadhili ili kuleta ufanisi na...
Warembo halafu wanajua kuimba Wasichana. Mwandishi wa Makala hii, amefatilia mziki wa Bongo Flava kwasasa katika upande wa Wanawake na kugundua kwamba upande huu kuna sura nyingi mpya tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma.
JICHO LA MWEWE: Eti rafiki yangu Morrison analilia timu ya Taifa Ghana na acheze mara kwa mara kabla ya kuwa mchezaji wao muhimu zaidi katika michuano hiyo ambayo ingefanyika nchini kwao. Nimekumbuka kuhusu Neymar baada ya majuzi kuendelea kumsoma Bernard Morrison...
MKOJANI-3: Huyo Tin White mbona freshi tu! kilichobaki ni harusi na kuufinya ubwabwa tu. Lakini mwandishi alimpotupia swali la kizushi la kwamba je ana mpango wa kuoa mke zaidi ya mmoja, Mkojani alikataa na kudai kuwa yeye hawezi...
JICHO LA MWEWE: Ajibu ametupa majibu ya kibepari, nyakati zitaongea RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba alikuwa katika ubora wake mbele ya vinasa sauti vya waandishi wa habari baada ya pambano kati ya Singida Big Stars na Mlandege kumalizika Ijumaa usiku katika...
Umebaki muziki mzuri ila mapenzi hapana kimuziki kutokana Ruby ni mwimbaji mzuri wa studio na jukwaani, huku Kusah akiwa ni mwandishi mzuri wa nyimbo na ameshawaandikia wasanii wengi. Kwa kipindi walichokuwa wote walitoa nyimbo...
MCL ilivyoshiriki tuzo ya Mwajiri bora wa Mwaka 2023 Tuzo ya ukuzaji na vipaji ni miongoni mwa tuzo 14 zilitolewa katika hafla ya kuwatambua washindi wa tuzo ya Mwajiri bora wa mwaka (EYA) zilizotolewa leo Desemba 4 jijini Dar es Salaam. Katika...
Washindi Nane wa kampeni ya Tembocard kushuhudia AFCON 2023 Dar es Salaam. Benki ya CRDB imezindua kampeni ya Tisha na Tembocard Tutakiwashe Afcon ambapo jumla ya washindi nane watahudhuria fainali hizo zilizopangwa kuanza Januari 13 mpaka February 11...