Waarabu noma! kumng'oa Nabi Yanga, Katumbi atia mkono KIKOSI cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya mchezo ujao wa Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Real Bamako ya Mali, huku kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akitoa...
Kocha auza siri za Vipers Simba SIMBA wikiendi iliyopita ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Vipers ya Uganda kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa St Mary’s nchini humo, huku Kocha Oliviera Robertinho akiwaonya...
Kisa Kocha Stars, TFF yapewa mchongo KITENDO cha Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kukaa kimya hadi sasa juu ya kocha mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, kimewaibua wadau mbalimbali wa soka na kuhoji namna wachezaji...
Mazembe: Yanga wanaenda robo fainali CAF MASHABIKI wa Yanga wanalia na timu yao kushindwa kupata pointi tatu za kwanza ugenini kwenye mechi za Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wapinzani wao TP Mazembe wameumia na...
Yanga yajihakikishia Sh200 milioni KIKOSI cha Yanga usiku wa juzi kilikuwa ugenini mjini Bamako, nchini Mali kupepetana na Real Bamako katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini vinara hao wa Ligi Kuu Bara, tayari...
Nabi abadili mfumo, ataka mabao Bamako YANGA leo inashuka na mfumo mpya wa hesabu za kuhakikisha kipa wao anakuwa katika ulinzi mkali, lakini hapohapo wakaongeza akili mpya ya kutaka mabao dhidi ya Real Bamako. Yanga katika mazoezi...
Diarra aibeba Yanga mapemaa YANGA inashuka ugenini leo dhidi ya Real Bamako, lakini wenyeji walipanga kitu flani cha kuwaharibia utulivu lakini fasta kipa Djigui Diarra akajivika mabomu na kuibeba Yanga kwa kuzipangua...
Rekodi za Yanga SC CAF zashtua MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wana furaha kubwa. Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya Kundi D ya Kombe la Shirikisho Afrika umewapa mzuka mwingi. Ni kama vile...
Nabi: Tulieni mpate raha YANGA leo itashuka uwanjani katika mchezo wa Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao, Real Bamako jijini Bamako nchini Mali, huku kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwataka...
Ufaransa, Ujerumani zilikuwa na mfumo kama wa FFP -3 KWENYE toleo lililopita tuliona namna Ligi Kuu England, Serie A na La Liga timu zao zilivyoathiriwa kwa madeni makubwa katika kujiendeesha baada ya kufanya matumizi makubwa kuliko mapato yao na...