Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8269 results for Mwandishi Wetu :

  1. PRIME Simba mpya goma limewaka, wakubaki, kusepa na wapya

    SIMBA imemaliza msimu ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nafasi ambayo ilimaliza nayo msimu uliopita. Kwenye Ligi Kuu hayo siyo mafanikio makubwa kwa kuwa matarajio yao...

  2. PRIME Yanga: Mayele ishu ni fedha

    BAADA ya kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), mabosi wa Yanga wamesema katika uongozi wao wapo tayari kumuuza mchezaji yeyote ambaye watapokea ofa nzuri. Yanga ilitetea taji...

  3. PRIME Nabi fundi sana apewe maua yake

    NAMBA hazidanganyi. Namba hazijawahi kuongopa, hata iwe vipi! Na hivi ndivyo kazi kubwa ya Kocha Nasreddine Nabi ilivyo. Ufanisi wake, upo wazi hata kwa mtu asiyejua soka. Alipotua nchini Aprili...

  4. PRIME Siku 786 za Nabi Yanga

    Aprili 20, 2021 Kocha Nasreddine Nabi akitokea Tunisia alitua Dar es Salaam na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia Yanga na safari ya mafanikio ya timu hiyo ilianzia hapo. Licha ya...

  5. Ambundo mlangoni Dodoma Jiji

    WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo imeelezwa anaweza akarejea tena Dodoma Jiji kutokana na kukosa namba ndani ya kikosi hicho, ambapo Jesus Moloko anaonekana kuwa kwenye kiwango cha juu. Habari za...

  6. Duchu arudishwa Simba

    SIMBA ina mpango wa kumrudisha beki wake wa zamani David Kameta “Duchu” ambaye alikuwa akiichezea Mtibwa kwa Mkopo. Duchu aliitumikia Simba na baadaye akapelekwa kwa mkopo Geita kabla ya...

  7. PRIME Tarimba awapa neno Yanga

    JUZI Jumatatu, Yanga ilitwaa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) matokeo ambayo yamewafurahisha wadhamini wao wakuu Sportpesa ambao wamesema timu hiyo imetimiza malengo yao na wanadeni kubwa msimu...

  8. Ahmed: Hatuna cha kujivunia, tukutane msimu ujao

    Siku moja baada ya tuzo kwa waliofanya vizuri msimu wa 2022/23 kutolewa, Meneja Habari wa Simba, Ahmed Ally amesema washahitimisha rasmi msimu. Kupitia Instagram Ahmed amewapongeza waliotwaa...

  9. Karia atoa tuzo tatu za heshima

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa tuzo tatu kwa watu waliochangia mafanikio ya soka nchini huku tuzo ya kwanza ya heshima ikienda kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Tuzo...

  10. Mayele, Saido wagawana kiatu

    Fiston Mayele wa Yanga na Saido Ntibazonkiza kutoka Simba wote wamepewa tuzo ya mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara 2022/23. Mayele na Saido kila mmoja alifunga mabao 17 hivyo Kamati ya Tuzo ilikaa...

Previous

Page 703 of 827

Next