Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ambundo mlangoni Dodoma Jiji

WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo imeelezwa anaweza akarejea tena Dodoma Jiji kutokana na kukosa namba ndani ya kikosi hicho, ambapo Jesus Moloko anaonekana kuwa kwenye kiwango cha juu.

Habari za ndani zinasema tayari uongozi wa Dodoma Jiji umeanza kufanya mazungumzo na mchezaji huyo na kama mambo yakienda sawa basi msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi chao.

"Ni mchezaji mzuri sana, ndani ya kikosi cha Yanga kuna ushindani mkali hivyo kutocheza mara kwa mara kunamfanya aonekane ameshuka kiwango," alisema mmoja wa kiongozi wa Dodoma Jiji.