PRIME Pitso amkingia kifua Nabi Sauzi KOCHA mzoefu kwenye soka la Afrika, Pitso Mosimane, aliyesaini dili nono huko Saudia, amesema aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi anafaa kuifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
PRIME Robertinho ataka wiki tano Simba Kama kuna kitu mashabiki wa Simba wanasubiri basi ni kujua nyota wao wapya wa msimu ujao, lakini kocha Robert Oliveira 'Robertinho amebainisha kuwa watu washasajiliwa na wiki tano zinatosha kwake.
Hichi ndicho kikosi cha Thank You FC LIGI Kuu Bara imemalizika wiki mbili zilizopita na kushuhudiwa Yanga ikitetea taji kabla ya kubeba pia Kombe la ASFC, lakini kwa sasa mashabiki wanapata burudani nyingine kutokana na kuwepo kwa...
PRIME Robertinho: Nimepata mashine tu msimu ujao KIU ya mashabiki wa Simba kwa sasa ni kutaka kujua mastaa wapya waliosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao, mbali na zile 'thank you' wanayopewa wale wanaotemwa kwenye kikosi cha sasa, lakini kocha wa...
PRIME Mosimane: Nabi apewe timu, ila... Kocha mpya wa Al Wahda ya Falme za Kiarabu (UAE), Pitso Mosimane amesema Nasreddine Nabi ana vigezo vyote kuwa kocha wa Kaizer Chiefs. Mosimane ameyasema hayo akiwa nchini Afrika Kusini...
Shabiki wa Madrid, Yanga asomba mamilioni SHABIKI wa Real Madrid, Yanga Jacob Mkungilwa kutoka mkoani Njombe ameibuka kidedea baada ya kujishindia Sh112 milioni kupitia ubashiri wa kampuni Premier bet Navigator. Mkungilwa ameshinda...
PRIME Vigogo Simba wajifungia siku mbili, ubishi waibuka SIMBA wamejifungia kwenye hoteli moja ya jiji la Dar es Salaam kwa siku mbili, huku ubishani ukiwa mkubwa kuhusu mambo mawili. Simba haijafanikiwa kutwaa ubingwa wowote msimu huu, lakini pia...
SBL yaipongeza Stars Dar es Salaam. Wadhamini wakuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wamepongeza ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger na kuweka matumaini ya kufuzu...
PRIME Pale kwa Bangala panamfaa Kanoute Yanga wanalazimika kusajili kiungo mkabaji kwenye dirisha hili endapo kiungo wao mahiri Yanick Bangala ataondoka kwenye timu hiyo. SOMA PIA: Yanga mpya vinatoka vyuma, vinaingia vyuma Siku...
PRIME Yanga mpya vinatoka vyuma, vinaingia vyuma YANGA wamemaliza msimu ikiwa ni timu iliyofanikiwa kuliko nyingine zote za Ligi Kuu Bara msimu huu. Hii ni timu yenye mafanikio makubwa zaidi kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa kipindi...