Angel Nyigu anataka kuacha alama katika kudansi KATI ya mambo anayoyafanya mnenguaji maarufu wa kike hapa nchini, Angel Nyigu anaamini katika anachokifanya, ni kujifunza kwa wapambanaji waliofanikiwa na siyo wanaopunguza ukubwa wa ndoto zake...