Mohamed: Najivunia tuzo ya dunia nikiwa Mwanaspoti mpinzani Tanzania. Mwandishi huyo mahiri wa michezo nchini, anasema gazeti hili halina mpinzani kuanzia kwa waandishi hadi mabosi wanaolisimamia kutokana na aina ya habari na uchambuzi...
Taswa yapata uongozi mpya, Mwandishi Mwananchi ashinda kwa kishindo Amir Mhando amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) uchaguzi mkuu uliofanyika leo Februari 5, kwenye uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Amir...
MCT, Taswa walaani, Mambosasa atia neno kupigwa kwa mwanahabari Taarifa iliyotolewa na MCT na Taswa leo na kusainiwa na Katibu Mtendaji MCT, Kajubi Mukajanga pamoja na Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Muhando ilisema Kwa mujibu wa Mbise tukio hilo lilitokea baada...
Fabregas akitoka, Ten Hag anaingia Como KOCHA wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuwa kocha mpya wa Bayer Leverkusen ikiwa Cesc Fabregas ataamua kuendelea kusalia Como.
He! Enzo Fernandez atafuta nyumba Madrid STAA wa Chelsea, Enzo Fernandez ameripotiwa kuanza kutafuta nyumba huko Hispania, jambo linaloibua utata kwamba huenda Muargentina huyo ana mpango wa kuondoka Stamford Bridge.
Klopp kila kitu freshi kwa Werner DILI limefika patamu. mwandishi wa habari maarufu, Raphael Honigstein amefichua kila kitu kinachoendelea baina ya kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp na straika wa RB Leipzig, Timo Werner.
Wema aja na DVD ya 'Heaven Sent' Dalili ya kuanza kulirudisha soko la filamu lililokuwa limelala, ambapo zamani wasanii ndio walizoeleka kwenda kuwapigia magoti wasambazaji.
Afisa habari wa Simba, Asha Muhaji afariki dunia Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Barca yampiga stop Lewandowski kufunga BARCELONA imeripotiwa kumwomba straika Robert Lewandowski asifunge tena mabao wakati wa msimu wake wa kwanza kwenye kikosi hicho cha La Liga.
TFF, RT yawapongeza viongozi wapya Taswa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na lile la Riadha (RT), vimeupongeza uongozi mpya wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), na kuwatakia kila la heri katika...