Bao moja la Neymar Saudia lanunua viwanja 13 vya Mkapa NDO hivyo. Supastaa Neymar ameishtua dunia ya mchezo wa soka kwa maisha yake ya huko Saudi Arabia kwamba aliiuzia timu ya Al Hilal bao moja kwa zaidi ya Pauni 200 milioni baada ya kufunga mara...
Curry, Ayesha wakaribisha NBA All-Star kitaa KWA familia ya nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry, wikendi hii tangu juzi, Ijumaa ni mwendo wa pati tu na kutoa michango yao kwa jamii. Unaambiwa watu walikuwa wakinywa, kula na kusaza.
Napoli kutua Old Trafford kwenda kumng'oa straika Hojlund MIAMBA ya soka ya Italia, Napoli imeripotiwa kujiandaa kwa ajili ya kwenda kupeleka ofa huko Manchester United ili kunasa saini ya straika Rasmus Hojlund kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa...
KenGold, Namungo moto utawaka, maafande wakishikana mashati Dar UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kushuhudiwa viwanja viwili vikiwaka moto, jijini Mbeya kuna pambano la vibonde wa ligi hiyo, wakati jijini Dar es Salaam kuna vita ya maafande...
Ligi Kuu Bara namba zinaongea LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa kuchezwa mechi mbili ikiwa ni raundi ya 14 tukielekea kuugawa msimu. Baada ya kumalizika kwa raundi hii, tunabakiwa na moja ambayo imekuwa na...
MZIGO HUO! Chukua hizi tano za Arsenal ikiichapa Madrid MABAO mawili ya friikiki matata kabisa yaliyofungwa na Declan Rice yameiweka mahali pazuri Arsenal kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwachapa Real Madrid...
PRIME PUMZI YA MOTO: Tuhuma za Tabora United zitaachwa zipite? KWA mara nyingine tena mpira wa Tanzania umekumbwa na matukio yenye kuashiria ushawishi wa rushwa na upangaji matokeo.
Kwa nini Europa League muhimu Man United, Spurs MANCHESTER United na Tottenham Hotspur zimeamua kuweka kando vita ya mapambano kwenye Ligi Kuu England na kuhamisha nguvu kwenye mchakamchaka wa kulisaka taji la Europa League.
PRIME Rekodi yamsubiri Mzize Ufaransa KIWANGO bora kinachoonyeshwa na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kimezivutia timu mbalimbali kusaka saini yake, huku ikielezwa nyota huyo anayeongoza kwa mabao ya Ligi Kuu Bara akiwa na 13...
MJIPANGE! Andrea Berta atakavyotumia Pauni 300 milioni kuleta majembe Arsenal ANDREA Berta ameripotiwa kuahidiwa kwamba atakabidhiwa Pauni 300 milioni kwa ajili ya kuzitumia kwenye usajili katika dirisha lake la kwanza la majira ya kiangazi akiwa mkurugenzi wa michezo mpya...