SAFARI YA MIAKA 60 KISOKA: Zanzibar ya boli usiichukulie poa kabisa KWA mashabiki wa kizazi cha sasa ni ngumu kuwaambia na kukuelewa kuwa, timu za visiwa vya Zanzibar, zilikuwa zikitetemesha katika soka la kimataifa. Unajua kwanini? Hii ni kwa sababu kwa miaka...
Azam FC, Gor Mahia kinapigwa AZAM FC inatarajia kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Kenya (FKF-PL), Gor Mahia, jijini Nairobi, Novemba 19. Azam inakwenda kucheza mechi hiyo ikiwa ni...
Arafat ang'ara kimataifa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), Arafat Haji ameibuka kidedea katika tuzo za jarida la Global Brands zilizofanyika Uingereza katika kipengele cha Mtendaji Bora wa Sekta ya...
Irankunda kutoka Kigoma hadi Bayern Munich Familia yake ilikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Burundi vilivyodumu kuanzia 1993 hadi 2005 na kuingia Kigoma pasipo hata kuwa na fikra kuwa siku moja itazaa mtoto ambaye atakuja kuwa...
Gamondi ataka winga, Straika, awasilisha faili mapema WAKATI mashabiki na wapenzi wa Yanga wakiendelea kutamba mtaani kutokana na kiwango bora kilichoonyeshwa na timu hiyo iliyoshinda mechi nane kati ya tisa za Ligi Kuu na kuwa vinara wa kutupia...
Mabao mawili yambeba Kanoute AFL KIUNGO mkabaji wa Simba, Sadio Kanoute ni miongoni mwa wachezaji wanne waliomaliza kama vinara wa mabao kwenye michuano mipya ya African Football League (AFL) iliyomalizika jioni ya leo Jumapili.
Chino ahamishiwa Muhimbili, dereva afariki Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa dereva kwenye gari lililombeba mwanamuziki na mnenguaji, Isaya Mtambo maarufu ‘Chino Kid’ pamoja na wenzake, amefariki dunia kufuatia...
Bingwa AFL kupatikana leo, Mamelodi vs Wydad PRETORIA, AFRIKA KUSINI. MASHABIKI wa soka barani Afrika kuanzia saa 10:00 jioni watakuwa bize kufuatilia pambano la pili la fainali ya African Football League wakati Mamelodi Sundowns...
Wapinzani wa Yanga CAF hoi KIKOSI cha Yanga kipo kwenye mazoezi makali kikijifua kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria utakaopigwa ugenini Ijumaa ya Novemba...
Simba yatua kwa Nabi, mwanaye afichua siri SIMBA imeanza msako wa kutafuta kocha kwa kasi wa kumrithi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Roberto Oliveira ‘Robertinho.’ Na habari zinashtua mtaa wa pili, yaani kule Jangwani ni kwamba mabosi wa timu...