Winga Super Eagles astaafu soka NYOTA aliyecheza mechi nyingi zaidi katika historia ya timu ya taifa ya Nigeria, Ahmed Musa ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
ILE SIKU NDO LEO! Afcon 2025 kinawaka, Morocco v Comoros utamu uko hapa HAYAWI hayawi yamekuwa. Baada ya kungoja kwa miaka, miezi, wiki na sasa ile siku imewadia na utepe wa mashindano ya kusaka ubingwa wa Afrika utakatwa huko Morocco usiku wa leo Jumapili.
Bruno Guimaraes, Manchester United kuna kitu MANCHESTER United inadaiwa kwamba ipo katika mazungumzo ya mwisho ya kumsajili nahodha wa Newcastle United na timu ya taifa ya Brazil, Bruno Guimaraes, 28, kwa ada inayokadiriwa kufikia Pauni 69.
Pep Guardiola ahoji uwazi wa CAF kuhusu AFCON 2025 Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola ameibua mjadala mpya kimataifa baada ya kuhoji uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa (CAF) kubadili matokeo ya fainali ya AFCON 2025 na kuipa Morocco ubingwa...
Machaguo kibao ya Silva akisepa Man City KIUNGO shoka wa Manchester City, Bernado Silva (31), hivi sasa anaweza kuwa anapitia taratibu orodha ya ofa ambazo zimefikishwa mezani kwake na wakala wake, Jorge Mendes, kwa ajili ya kuamua timu...
Vigogo Ulaya macho yote kwa Andrey Santos MANCHESTER United inatarajiwa kukutana na upinzani mkali kutoka timu za Ligi Kuu England katika harakati zao za kumsajili kiungo wa Chelsea, Andrey Santos mwenye umri wa miaka 21.
Spurs dah! Chelsea, Liverpool hazichekani HAKUNA namna zaidi ya kupigana hadi tone la mwisho. Ndiyo, Spurs ili isalie Ligi Kuu England msimu ujao, ina kazi ya kufanya kuhakikisha inashinda mechi zake zilizosalia kwa asilimia kubwa ili...
Davies atajwa kutua Manchester United MANCHESTER United imeonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa kushoto wa kimataifa wa Canada, Alphonso Davies, 25, kutoka Bayern Munich katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiangazi.
Mbio za ubingwa EPL, ukilala imekula kwako! MSIMAMO wa Ligi Kuu England unavyosoma, Arsenal bado ipo kileleni kwa tofauti ya pointi tano dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili, Manchester City.