Kama Messi, Ronaldo naye akosa penalti Ni pigo kubwa kwa Messi na Barca, filimbi ya kumaliza mchezo ilipopulizwa, Messi akaficha sura yake akitumia jezi, ulikuwa usiku wa hovyo kwake, haikujalisha kwamba alikuwa ndiye mfungaji bora wa...
Marc Guehi azisubirisha Real Madrid, Liverpool na Barcelona INAELEZWA beki kisiki wa Crystal Palace, Marc Guehi mwenye umri wa miaka, 25, yupo tayari kusubiri hadi mwisho wa msimu huu ili kufanya uamuzi wa wapi atakwenda baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
Vigogo England wawasili Hispania dili la Gallagher TIMU za Ligi Kuu England, zinaripotiwa kutuma wawakilishi kwenda Hispania kufanya mazungumzo na wawakilishi wa Atletico Madrid kwa ajili ya kuipata saini ya kiungo wa kati wa timu hiyo na...
Crystal Palace kusikilizia ofa za Mateta CRYSTAL Palace imepanga kusikiliza ofa kutoka timu zinazohitaji huduma ya mshambuliaji wao wa kimataifa wa Ufaransa, Jean-Philippe Mateta, 28, kuelekea dirisha lijalo la majira ya baridi.
Hugo Broos atetea uamuzi wa kuwaita Mofokeng, Mokwana Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu Bafana Bafana, Hugo Broos, amewapongeza Relebohile Mofokeng na Elias Mokwana, akisema wana uwezo wa kufanya vizuri katika fainali za Mataifa...
Ukweli wafichuka maisha ya Diddy gerezani DIDDY hawezi kuacha kuwakumbatia wafungwa wenzake na kupiga picha nao, angalau ndivyo picha na video mpya zinavyoonekana, isipokuwa ukweli ni picha hizo ni za akili bandia (AI).
Azam v Singida vita ya mbinu Ligi Kuu Bara KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi leo ana mtihani mgumu mbele ya Florent Ibenge anayeinoa Azam, wakati timu hizo zitakapocheza mechi ya Ligi Kuu Bara.
Ndo hivyo: Ghafla tu mipira iliyokufa imegeuka dili Ligi Kuu England BAADA ya miaka kadhaa ya kushuhudia timu za soka zilizokuwa zikitawala dunia ni zile zilizokuwa zikicheza staili ya kupiga pasi nyingi za gonga fupifupi (tiki-taka) kama ilivyokuwa kikosi cha...
Katibu Basata akumbushia ugomvi wa Diamond, Rayvanny Mwanamuziki Rayvanny tayari amewasili nchini kutoka Kenya ambapo alienda kwenye hafla ya utolewaji tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards 2024 (EAEA) ambapo ameondoka na tuzo tano.