Jadon Sancho, Juventus ni suala la muda JUVENTUS imekubali kutoa Euro 25 milioni kwenda Manchester United kuipata saini ya winga wa timu hiyo, Jadon Sancho.
Konate aingia anga za Real Madrid, dili ni mwakani REAL Madrid iko tayari kusubiri hadi msimu ujao ili kumsajili beki wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Ibrahima Konate, mwenye umri wa miaka 26, kwa uhamisho wa bure.
Ile pyee EPL... Moto huoo Man United na Arsenal IMERUDI tena. Ndicho unachoweza kusema baada ya ratiba mpya ya Ligi Kuu England msimu wa 2025-26 kutangazwa, huku Manchester United na Arsenal zikimenyana kwenye wikiendi ya kwanza kabisa ya...
Liverpool yadhamiria kwa Alexander Isak, kuvunja rekodi LIVERPOOL iko tayari kuvunja rekodi ya usajili England ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, katika dirisha hili.
PRIME Mechi nne za maamuzi Yanga MABAO manne ambayo Kennedy Musonda ameyafunga katika mechi za kuwania kufuzu Mainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025, yakiwemo mawili kwenye mechi mbili mfululizo za mwisho, zimewafanya mabosi...
PRIME Hii vesti kiboko ya wachezaji wavivu KWENYE soka la kisasa, mchezaji anaposajiliwa kutoka timu moja kwenda nyingine, kuna vitu vingi vinazingatiwa. Ipo hivi, baada ya skauti wa timu A kumwona mchezaji wa timu B na kuvutiwa naye...
Kisa Vinicius, Madrid yaanza kumwinda Nico Williams MABOSI wa Real Madrid wanaangalia uwezekano wa kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams dirisha lijalo la majira ya kiangazi kama mbadala wa Vinicius Jr...
Kuna vita ya top four Ligi Kuu Ligi Kuu Tanzania Bara imebakiza michezo saba ili iweze kumalizika na itapigwa ndani ya miezi miwili, Aprili na Mei baada ya ligi kurejea kutoka kwenye mapumziko.
PRIME SENYO: Kinyozi wa mastaa EPL, anayepiga pesa ndefu MBALI ya uwezo wao mkubwa wanaoonyesha kiwanjani moja kati ya mambo ambayo wachezaji wengi wanazingatia ni muonekano wao.
Mambo matano muhimu gemu 3 NBA KATIKA mchezo wa tatu wa mchuano wa kwanza wa hatua ya mtoano wa NBA kati ya Los Angeles Clippers na Denver Nuggets, hali imebadilika.