19 zachuana kuwania ubingwa Gymkhana TIMU 19 za soka zitachuana kuwania ubingwa wa Kombe la TBA katika fainali zitakazofika kilele, Julai 19 katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam. Mikikimikiki ilianza Julai Mosi kwenye viwanja...
Tebogo, mwanariadha aliyeipa heshima Afrika Letsile Tebogo hakuwa ni mkimbiaji aliyepewa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi wa mbio za mita 200 katika michezo ya Olimpiki iliyomalizika jana huko Ufaransa.
Nani yuko nyuma ya JKU, Uhamiaji? SAKATA la wawakilishi wa Zanzibar kwenye michuano ya kimataifa kuamua kuchezea mechi zao zote ugenini limeibua sintofahamu kwa wadau. Huku wakihoji ; "Nini kiko nyuma ya timu hizo?"
Hall aishambulia Taifa Stars KOCHA wa timu ya Azam FC, Stewart Hall amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, kuachana na utaratibu wa kucheza kamari kwa kuajiri makocha kwa mikataba ya muda mfupi kisha wakatarajia kupata...
Yanga bana! Yaangusha moja moja KATIKA mechi nne zilizopita, Yanga imekuwa ikishinda kwa bao moja moja, lakini Kocha Ernie Brandts amesema hakuna tatizo ingawa wikiendi iliyopita aliwapangua mastraika wake. Yanga ni vinara wa...
Hata makocha uvaaji saa wanauthamini SIKU hizi kila mwanadamu analofanya linaangaliwa sana kuliko zamani. Tukichukulia michezo, zamani Tanzania tulisikia tu majina ya wachezaji kama Bobby Moore, George Best, Pele na Diego Maradona.
Uofisa habari wa timu si mipasho, vijembe KIATIKA nchi zilizoendelea Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika klabu huambatanishwa na Idara ya Masoko.
Waliokosa wadhamini wapewe nafasi, kura zitaamua KINACHOENDELEA kwenye michezo hivi sasa hasa kwa hapa nchini mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utakaofanyika Agosti 7, jijini Tanga.
Mganga aibuka na Tenga Uwanjani MICHUANO ya Sports Xtra Ndondo Cup inayodhaminiwa na Gazeti la Mwanaspoti inazidi kushika kasi na kujaa vituko ambavyo huwezi kuvipata na kuviona kirahisi katika kiwanja chochote kinachotumika na...
Wamiliki wa klabu za soka England waliokumbwa na kashfa >MMILIKI wa klabu ya soka ya Birmingham City ya England, Carson Yeung, ametupwa jela huko Hong Kong baada ya kukutwa na hatia ya ufujaji fedha.