Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9002 results for Mwandishi :

  1. Lautaro Martinez atengewa fungu Arsenal ikimtaka kikosini

    ARSENAL imetakiwa kulipa Pauni 128 milioni katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa inaitaka saini ya mshambuliaji wa Inter Milan na timu ya taifa ya Argentina, Lautaro Martinez.

    TETESI Pict
  2. Liverpool, Barcelona mguu sawa kwa Jonathan Tah

    BARCELONA hawana wasiwasi kuhusu mpango wa kutaka kumsajili beki wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Jonathan Tah, mwenye miaka 29, ambaye mkataba wake na vigogo hao wa...

    TETESI Pict
  3. Dah! Chiesa awekwa sokoni Liverpool kina Salah wakibaki

    WAKATI Liverpool imefanikiwa kuwabakisha mastaa wake wawili Mohamed Salah na Virgil van Dijk, klabu hiyo inahitaji Pauni 17 milioni katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kumuuza...

    FUNUNU Pict
  4. Real Madrid yaangukia kwa Enzo Fernandez

    REAL Madrid imeanza mchakato wa kutaka kumsajili kiungo wa Chelsea na Argentina, Enzo Fernandez ambaye ameonyesha utayari wa kujiunga nayo katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwani ni...

    TETESI Pict
  5. Nico Williams aiingiza Bayern Munich vitani

    BAYERN Munich imeanza tena kuonyesha nia ya kutaka kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

  6. Aston Villa yampa masharti mazito Marcus Rashford

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 27, ameambiwa kuwa akubali kupunguza mshahara wake ikiwa anataka kusaini mkataba wa kudumu wa...

    TETESI Pict
  7. Liverpool wapewe ubingwa wao EPL

    LIVERPOOL imerejea kwenye makali yake ya ushindi baada ya kuichapa Everton kwenye kipute cha Merseyside derby kilichofanyika Anfield, Jumatano iliyopita.

    WAPEWE Pict
  8. Arsenal, Manchester United zalainishiwa kwa Gyokeres

    MABOSI wa Sporting Lisbon wapo tayari kupunguza bei ya mshambuliaji wa timu hiyo na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kutoka Pauni 85 milioni...

  9. Barcelona yaanza kujipanga kwa Luis Diaz

    BARCELONA inafikiria kufanya mabadilishano ya wachezaji na Liverpool na imepanga iwape beki wa kati wa Uruguay, Ronald Araujo, mwenye umri wa miaka 26, ili kumpata winga wa majogoo hao na timu ya...

    FUNUNU Pict
  10. PRIME Wachezaji Simba waongezewa mzuka, watangaziwa dau nono

    SIMBA inahesabu saa kabla ya kushuka uwanjani kesho Jumapili kukabiliana na Stellenbosch ya Sauzi katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku mfadhili wa zamani...

    DAU Pict
Previous

Page 584 of 901

Next