Bao moja la Neymar Saudia lanunua viwanja 13 vya Mkapa NDO hivyo. Supastaa Neymar ameishtua dunia ya mchezo wa soka kwa maisha yake ya huko Saudi Arabia kwamba aliiuzia timu ya Al Hilal bao moja kwa zaidi ya Pauni 200 milioni baada ya kufunga mara...
Staa anayesakwa Man United atakavyoleta utamu kikosini ACHA shoo ianze tuone. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kuelezwa kwamba, mchezaji Patrick Dorgu anaweza kuwa majibu ya shida nyingi zinazomkabili kocha Ruben Amorim kwenye kikosi cha...
PRIME Walibya watenga Sh 3B kwa Mzize, mchongo mzima upo hivi SIKU chache baada ya kuripotiwa kwamba mabosi wa Yanga wamelegeza kamba kwa kuwa tayari kumuuza mshambuliaji nyota Clement Mzize, matajiri wa Klabu ya Al Ittihad ya Libya wameamua kufanya kweli...
PRIME Waliopewa uraia Singida BS kujua hatma yao kesho, TFF wafunguka HATMA ya nyota watatu wa Singida Black Stars wanaodaiwa kubadili uraia ili kuwa Watanzania Josephat Arthur Bada, Emmanuel Keyekeh na Mohammed Domaro Camara inatarajiwa kufahamika baada ya kikao...
Mo Salah kuziba pengo la Neymar Al-Hilal Saudia BAADA ya kuvunja mkataba na supastaa wake Neymar Jr, timu ya Al-Hilal inataka kumsajili winga wa Liverpool na Misri, Mohamed Salah, 32, katika dirisha hili la usajili ili kuziba pengo lake.
Ishu ya Amorim, Rashford sio yeye tu MOJA kati ya mambo yanayoendelea England kwa sasa ni sakata la kocha Ruben Amorim na staa wake Marcus Rashford ambaye hivi karibuni aliweka wazi kwamba yupo tayari kuondoka na kwenda kutafuta...
Fenerbahce: Rashford? Hapana, hatumtaki BOSI wa Fenerbahce inayonolewa na Jose Mourinho, Acun Ilicali amesema tena kwa msisitizo hawana mpango wa kumsajili staa wa Manchester United, Marcus Rashford.
Usishangae El Clasico ikipigwa Wembley KIPUTE cha El Clasico huenda kikahamishiwa Uwanja wa Wembley baada ya Barcelona kushindwa kukamilisha maboresho ya uwanja wao wa Nou Camp ambao utagharimu Pauni 1.25 bilioni.
Mtego wa Waarabu kwa Vini Jr ni balaa KLABU za soka za Saudi Arabia zimepanga kutumia zaidi ya Pauni 1 bilioni kuhakikisha zinamnasa Vinicius Jr akakipiga huko, imeripotiwa.
Tabora United yapewa mwamuzi 'mtata' dhidi Simba Presha ya mchezo wa Tabora United dhidi ya Simba inazidi kupanda mdogondogo na taarifa ya kushtua ni kwamba mchezo huo utaamuliwa na mwamuzi Amina Kyando ambaye hana rekodi nzuri na wenyeji wa...