Amorim, Man United mulemule PRESHA ipo juu kwa kocha Ruben Amorim baada ya dirisha la usajili la majira ya baridi huko Ulaya kufungwa huku chama lake la Manchester United likishindwa kunasa mastaa wa maana wa kuja kuongeza...
Garnacho, Mainoo bado wapo sokoni Man United MANCHESTER United bado ina mpango wa kuwauza mastaa wake wawili - winga raia wa Argentina, Alejandro Garnacho, 20, na kiungo kutoka England, Kobbie Mainoo, 19, katika dirisha lijalo la majira ya...
Kumbe Mane kawapa Liverpool kiungo mkali KIUNGO, Ryan Gravenberch amekiri kwamba staa wa zamani wa Liverpool, Sadio Mane ndiye aliyemshawishi kuhama kutoka Bayern Munich kwenda kukipiga Anfield mwaka 2023.
Ikifika Januari bei ya Kane inashuka STRAIKA, Harry Kane atashusha bei yake anayouzwa iliyowekwa kwenye kipengele cha mkataba wake huko Bayern Munich itakapofika dirisha la Januari mwakani jambo litakalotoa nafasi kwa klabu za Ligi...
PRIME Ruben Amorim aiba kitabu cha Arteta Pesa inaonekana kuwa kikwazo kikubwa kwa Man United kushindwa kuwa na nguvu kubwa kwenye soko la usajili, licha ya kikosi chao kuwa na shida nyingi ndani ya uwanja hadi sasa msimu ulipofika.
Rashford ataka kushinda taji la Ulaya Villa Park Rashford amefunga mabao 12 na kuasisti mara tatu katika mechi 33 alizochezea Man United kwenye michuano ya Ulaya. Na sasa huko Villa Park, Rashford atakwenda kuungana na Marco Asensio, ambaye...
Jaydee aja na Jide Silver miaka 25 ndani ya gemu Katika maadhimisho hayo, yaliyopewa jina la Jide Silver, mwimbaji huyo ataanza kwa kuijengea jamii ufahamu juu ya ugonjwa wa saratani akishirikiana na Hospitali ya Ocean Road, siku ya Juni 9.
Cheki Feb 5 ilivyoleta mastaa wa soka duniani KAMA ulizaliwa Februari 5, unacheza soka na huna maajabu, basi achana na boli, kwani hiyo itakuwa kazi isiyokuhusu.
Kenya yakusanya Dola 316K mauzo ya wachezaji, Tanzania ikichangia Dola 9276 Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya wachezaji wa kiume nje ya nchi, ikikusanya Dola 316,000 (Ksh 40.8 milioni)...
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.