PRIME TUMIA HELA! Mkwanja ulivyotumika kunasa vifaa vipya, Big Six balaa zito Baada ya kuanza msimu vibaya kwenye historia yake ya ukocha ikiwamo kukumbana na vichapo vitano mfululizo kabla ya kufanya hovyo tena dhidi ya Feyenoord.
Bada, Damaro ndani Singida v Kagera Sugar SAKATA la wachezaji watatu wa kigeni waliobadilisha uraia wao limechukua sura mpya baada ya wawili kati yao kuanzishwa katika kikosi cha timu ya Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar.
PRIME BADO WAMO: Ronaldo na wazee wenzake aliocheza nao hawataki kung’atuka SUPASTAA Cristiano Ronaldo yupo kwenye msimu wake wa 22 wa soka la kulipwa na mambo yake ndio kwanza yanaanza huko Saudi Pro League, akiwasha moto kisawasawa kufukuzia rekodi mbalimbali na mataji...
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 1 Mwandishi mahiri wa riwaya nchini, Faki A. Faki anakuja na mzigo mpya kabisa wa kisa cha upelelezi, mapenzi na maisha ya kawaida. Binti wa bilionea anatekwa na magaidi ambao wanataka pesa...
Neymar aanza na sare Santos Staa wa Brazil Neymar, jana alicheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya nchi hiyo akiwa na Santos na kuisaidia timu yake kupata sare ya bao 1-1kwenye mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Albano...
Man United, Tottenham kazi ipo ZINAJITAFUTA. Ndiyo, miamba miwili ya Ligi Kuu England kati ya timu kubwa sita, ina hatihati ya kukosa michuano ya Ulaya msimu ujao kutokana na hali mbaya zilizonazo msimu huu.
PRIME Utapeli mitandaoni watikisa, Mo alia kudukuliwa Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga.
PRIME NIONAVYO: Makocha Wetu Waamke au Waamshwe? KLABU ya Yanga imeachana na kocha raia wa Ujerumani, Sead Ramovic kwa makubaliano ya pande mbili. Habari hii imeghubika vyombo vya habari vya hapa nchini na pia hat nje ya nchi.
PRIME Kilichomponza Diarra kufungwa bao la mbali BAADHI ya mashabiki wa soka wakiwamo wa Yanga jana walishindwa kuvumilia na kujikuta wakimpa Selemani Rashid 'Bwenzi' wa KenGold fedha baada ya kufunga bao safi wakati timu yake ikilala kwenye...
TOP 5: Waliondoka kwa kuzinguana, wakaenda kukiwasha klabu mpya KATIKA dirisha la usajili la majira ya baridi lililomalizika, staa wa Manchester United, Marcush Rashford alikamilisha uhamisho wa kujiunga na Aston Villa kwa mkopo wa nusu msimu.