Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kilichomponza Diarra kufungwa bao la mbali

Mbwezi Pict

Muktasari:

  • Yanga ambayo hadi sasa imeruhusu mabao saba kwenye Ligi Kuu Bara ikiwa inashika nafasi ya pili kwa timu iliyofungwa mabao machache baada ya Simba ambayo imefungwa matano, imekuwa na kasi nzuri ya kufunga mabao ambapo hadi sasa ndiyo inaongoza kwa kupachika mengi ikiwa imeshafunga mabao 42 ikifuatiwa na Simba iliyofunga 34 na leo inacheza dhidi ya Fountain Gate kwenye Uwanja wa Kwaraa Manyara.