Jorginho ndo hivyo, anarudi alikozaliwa KIUNGO wa Arsenal, Jorginho ameripotiwa kufikia makubaliano ya kujiunga na Flamengo kwa uhamisho wa bure mwishoni mwa msimu huu.
ZUBAA UPIGWE: Bayern ya Harry Kane itatoboa? NA leo tena. Mechi za mchujo za Ligi ya Mabingwa Ulaya za kuwania tiketi ya kucheza kwenye mtoano wa hatua ya 16 bora zinapigwa usiku wa leo Jumatano, huku mashabiki wa mikikimikiki hiyo...
Delap azipagawisha Chelsea na Manchester United MANCHESTER United na Chelsea zipo katika vita ya kuwania huduma ya straika wa Ipswich Town na England, Liam Delap, 21, ambaye ni miongoni mwa wafungaji waliofanya vizuri tangu kuanza kwa msimu...
Ferdinand adai mchawi Man United ni presha BEKI wa zamani, Rio Ferdinand amesema presha ya kuichezea Manchester United si mchezo ndiyo maana wachezaji wengi wanaondoka Old Trafford wanakwenda kung'ara huko kwingineko kwa sababu wanakuwa...
Man City yapewa mserereko Kombe la FA DROO ya raundi ya tano ya Kombe la FA imepangwa na mashabiki hawajafurahia kabisa.
Kenya kwenye mtihani mzito uteuzi timu ya vijana Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Kenya chini ya miaka 17, Mildred Cheche ana kazi ya kujenga upya kikosi chake kabla ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia la Wanawake dhidi ya Uganda mwezi Machi.
PRIME Mayele ni rekodi juu ya rekodi Misri Oktoba 3, 2024, Fiston Mayele alipiga pasi mbili za mwisho dhidi ya El Dakhlia ambazo zilichangia kuiwezesha Pyramids FC kupata ushindi wa mabao 2-0 na zikamfanya afikie rekodi moja tamu kwenye...
PRIME SOKONI KUBAYA: Mbappe, Osimhen hawachekani ishu ya thamani zao kushuka maradufu MAISHA yanakwenda kasi si mchezo. Na muda umekuwa na thamani kubwa kwenye soko la wanasoka duniani na kuna wengine mambo yao yanakuwa matamu kwa maana ya thamani zao kupanda huku wengine...
PRIME Lamine alipozaliwa mwaka wa Ballon d’Or kuwa ya magwiji watupu KINDA wa Barcelona, Lamine Yamal hakika ndiye mchezaji kijana anayevutia zaidi kumtazama kwa sasa tangu alipoibuka Kylian Mbappe na kabla ya hapo masupastaa wawili, Lionel Messi na Cristiano...
Mateta aliyeitungua Man United atakiwa Atletico ATLETICO Madrid ni miongoni mwa timu kubwa zinazohitaji saini ya straika wa Crystal Palace, Mfaransa Jean-Philippe Mateta, 27, ambaye mkataba wake na timu anayoichezea unatarajiwa kumalizika 2026.