Kamwe, Mazanzala wapelekwa kamati ya maadili TFF Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania iliyoketi Dar es Salaam Jumatano, Februari 12, 2025 imetembeza rungu kwa Pamba Jiji FC huku ikimpeleka katika kamati ya...
PRIME Balaa la majeruhi... Arteta apewa mastraika sita MAJERUHI yameipiga pabaya Arsenal na sasa inahaha namna ya kuboresha fowadi yao.
Ndayiragije akuna mabosi, kulamba dili jipya MABOSI wa Police FC ya Kenya wanatarajiwa kumsainisha mkataba mpya wa mwaka mmoja kocha mkuu Etienne Ndayiragije baada ya kuridhishwa na utendaji wake wa kazi tangu alipotua katika kikosi hicho...
Tajiri kaamua, wafanyakazi wengine kuliwa vichwa united TAJIRI na mmiliki mwenza wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe inadaiwa kuwa na hofu timu huenda ikakumbana na hali mbaya ya kiuchumi ikiwa hatochukua jukumu la kuendelea kubana matumizi.
Serikali yasaini kandarasi ya Sh 350 bilioni ujenzi wa uwanja Dodoma Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa mchezo wa mpira wa miguu jijini Dodoma na mkandarasi kampuni ya LimontaI Spa ya nchini Italia wenye thamani ya zaidi ya Sh350 bilioni.
Ishu ya usajili yamtafuna Mikel Arteta SAA kadhaa baada ya kufungwa kwa dirisha la usajili la Januari, Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta alijitetea vikali kuhusu hali ya timu yake kutosajili mchezaji yeyote wa kuongeza nguvu katika safu...
Vinicius akutana na matajiri wa Saudia STAA wa Real Madrid, Vinicius Junior anaripotiwa kukutana na maafisa kutoka Ligi Kuu ya Saudi Arabia wanaojaribu kutaka kumsajili dirisha lijalo.
TB yafifisha matumaini ya mwanasoka John Ndirangu LILIKUWA ni jambo la kuhuzunisha kama ilivyokuwa wazi mwanamume aliyeishi maisha yake yote akicheza mchezo alioupenda sasa anauacha na si kwa sababu alizozichagua mwenyewe, bali alilazimika...
Kocha wa Al Hilal ataka Mo Salah aletwe fasta KOCHA wa Al-Hilal, Jorge Jesus amewaambia mabosi wa timu hiyo anahitaji huduma ya mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah dirisha lijalo la majira ya kiangazi na amesisitiza anaendana kabisa na...
Dah! Chelsea itakuwaje sasa KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amepata pigo kubwa baada ya mshambuliaji wake Nicolas Jackson kupata majeraha makubwa yatakayomweka nje ya uwanja kwa muda mrefu tofauti na ilivyoripotiwa hapo awali.