Messi v Dembele Kombe la Dunia la Klabu ni bonge moja la mechi
BONGE la mechi ndicho unachoweza kusema, wakati mashabiki wakisubiri kipute cha maana cha mabingwa wa Ulaya, Paris Saint-Germain watakapokumbana na miamba ya Marekani, Inter Miami kwenye mchezo...