Osimhen, Gyokeres mezani Man United MANCHESTER United imeripotiwa kupewa ripoti kila wiki ya kuhusu hali ya mastraika Victor Osimhen na Viktor Gyokeres endapo kama watapatikana sokoni kwenye dirisha lijalo la usajili.
Piers Morgan amchana Arteta SHABIKI mnazi wa Arsenal, Piers Morgan amemshukia kocha wa timu hiyo Mikel Arteta juu ya uamuzi wake wa kuacha kusajili straika kwenye dirisha la Januari na kuigharimu timu hiyo ubingwa.
Mchakamchaka EPL kuendelea leo MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England unaendelea Jumanne. Lakini, kitu kitamu ni Jumatano, kutakuwa na mechi za kibabe zaidi, ikiwamo Tottenham Hotspur na Manchester City huko London.
Kikao cha Pep, Salah chashtua PEP Guardiola amewashtua mashabiki wa Liverpool baada ya picha yake akiwa kwenye kikao cha siri na mshambuliaji wa timu hiyo, Mohames Salah huko Etihad kuonekana hadharani.
PRIME PUMZI YA MOTO: Rita wa Diamond na mkasa wa Rita mwenzake wa Bob Marley KATIKATI ya juma lililopita hali ya hewa ilichafuka mitandaoni baada ya kuvuja kwa video zikimuonyesha mrembo mmoja anayeitwa Rita Norbeth akiwa na nyota wa muziki, Diamond Platinum, kwenye...
PRIME MZEE WA FACT: Kuna filamu kuhusu maisha ya Simba, Azam Leo ni siku ya Mzizima Dabi, Simba SC atawakaribisha matajiri wa Chamazi, Azam FC Uwanja wa Mkapa kuanzia saa 10 jioni.
PRIME Makipa Taifa Stars... Kuna tatizo kubwa Hivi karibuni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia alisema wanaandaa kanuni ambayo msimu ujao hakuna klabu ambayo itaruhusiwa kuwa na makipa wawili wa kigeni.
AMORIM: Kazi ngumu Man United inamlipa Sh21 bilioni kwa mwaka Ruben Filipe Marques Amorim. Si jina geni kwenye masikio ya mashabiki wa mchezo wa soka duniani.
Arteta aukatia tamaa ubingwa EPL, ashuka na mastaa Arsenal KOCHA, Mikel Arteta kwa hasira amewashambulia kwa maneno mastaa wake wa Arsenal akiwashutumu kwamba hawana viwango vya kuwa mabingwa.
PRIME Simba V Azam FC... Utamu upo kati SIMBA imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, huku Wanalambalamba wakijibu mapigo kwamba safari hii hawakubali...