Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8978 results for Mwandishi :

  1. Lwandamina aifumua upya Azam FC

    MASHABIKI wa Azam hawaielewi timu yao ikipata sare ya nne mfululizo na katika mechi sita za mwisho za Ligi Kuu Bara hawaujui ushindi wowote lakini kocha wao mpya George Lwandamina atafanya...

  2. Singida yaipora Simba beki kimafia

    MASHABIKI wa Simba walishaanza kuhesabu saa kabla ya kumuona beki mpya wa makrosi akitua katika timu hiyo ili kuimarisha kikosi hicho kwa msimu ujao, lakini ghafla mambo yametibuka baada ya...

  3. Mashindano ya kuogelea ya FK Blue Marlins kufanyika Jumamosi na Jumapili

    Dar es Salaam. Mashindano ya kuogelea ya FK Blue Marlins yamepangwa kufanyika Jumamosi na Jumapili kwenye bwawa la shule ya kimataifa ya FK iliyopo Bahari Beach jijini. Meneja wa klabu ya FK Blue...

  4. Majina ya mastaa Simba, Yanga yapigwa chini

    WAFANYABIASHA wameeleza kuacha kuandika majina ya mastaa wa soka nchini kutokana na kutotulia kwenye timu kwa muda mrefu hivyo wao kupata hasara katika mauzo. Majina ya mastaa ambayo hupenda...

  5. Bilionea Yanga amjibu Mo Dewji

    NI kama vile Yanga imeamua kuijibu Simba kwa vitendo siku chache baada ya Mwenyekiti wa Bodi wa klabu hiyo ya Msimbazi, Mohammed ‘Mo’ Dewji kusema hataki timu yao ifananishwe na nyingine hukua...

  6. Derby ya Mji Mkongwe ZNZ hakuna mbabe

    Mechi kali ya derby Zanzibar inayozikutanisha timu za Mlandege FC dhidi ya Malindi FC imemalizika kwa sare ya 0-0 ikiwa ni mechi ya kundi B kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup. Timu zote...

  7. Simba yaanza na gia kubwa, kuweka kambi Arusha

    BAADA ya kurejea nchini, mabosi wazito wa Simba walikutana faragha jijini Dar es Salaam kupanga mikakati mipya ya namna kuanza msimu kwa kishindo wakiwa kwenye ubora wao uliozoeleka. Simba...

  8. Azam yamgeukia Inonga

    SAA chache baada ya kuwavuruga mashabiki na wanachama wa Yanga kwa kumng’oa kibabe kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’, klabu ya Azam FC imedaiwa sasa imeamua kuwageukia Simba, ikipiga hesabu ya...

  9. Mtibwa wavuliwa ubingwa, Simba na Yanga hawakutani nusu fainali

    Mtibwa Sugar jana Jumamosi ilivua rasmi taji lake la Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba huku Wekundu hao nao hawataweza kucheza nusu fainali na watani wao...

  10. Simba, Yanga kuishusha Mwadui

    ZIMEBAKI mechi chache mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara umalizike ambapo Mwadui FC inayocheza leo Ijumaa Desemba 18 dhidi ya Polisi Tanzania ipo katika hali mbaya na hatma ya kubaki ipo...

Previous

Page 536 of 898

Next