Iran yajadiliana na FIFA kuhamishia mechi nje Marekani Iran imesema iko kwenye mazungumzo na FIFA kuhusu uwezekano wa kucheza mechi zake za Kombe la Dunia nje ya Marekani, baada ya Donald Trump kuionya timu hiyo kukaa mbali na nchi hiyo wiki iliyopita.
Apple Music yamtangaza Moses Luka msanii mpya wa ‘Up Next’ Afrika Mashariki APPLE Music imemtangaza muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Moses Luka, kuwa msanii wa awamu mpya kujiunga na mpango wake wa kukuza vipaji wa ‘Up Next’ katika ukanda wa Afrika...
Salah ang'ara, Misri yatinga 16 Bora Timu ya Taifa ya Misri imeandika historia kwa kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya kuiondoa Australia kwa ushindi wa penalti 4-2, kufuatia sare ya bao 1-1...
Ancelotti: Sir Ferguson pekee anaweza kunikosoa KOCHA Carlo Ancelotti amesema atakubali kukosolewa na mtu mmoja pekee anayemwona kuwa ana sifa za kufanya hivyo ni Sir Alex Ferguson.
TLGU yazindua dira ya miaka mitano CHAMA cha Gofu cha Wanawake Tanzania (TLGU), juzi kilizindua rasmi Dira ya Rais pamoja na Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2026-2030), huku kikitangaza mashindano ya The Lady President’s Golf Cup...
Argentina yaichapa England dakika za jioni, yatinga fainali Kombe la Dunia 2026 TIMU ya taifa la Argentina imeonyesha kwa mara nyingine kwa nini ni mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia baada ya kupindua matokeo na kuifunga England mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali...
Bosi Nottingham azichapa na mpwa wa Waziri Mkuu BOSI kubwa mmiliki wa Nottingham Forest, Evangelos Marinakis, ameripotiwa kuhusika katika ugomvi uliotokea kwenye mchezo wa fainali ya Ligi ya Kikapu Ulaya (EuroLeague), kati ya Olympiacos na...
Rekodi ya Cristiano Ronaldo shangwe Colombia Mkongwe Cristiano Ronaldo anajiandaa kuweka historia katika Kombe la Dunia 2026, itakayofanyika Marekani, Mexico na Canada, ambapo atacheza fainali zake za mwisho kwa mara sita, huku akipambana...
Lionel Messi azua hofu Argentina Lionel Messi azua hofu kuhusu ushiriki wake katika Kombe la Dunia baada ya kutoka mapema wakati wa mchezo wa Inter Miami usiku kuamkia leo.