Maresca awajibu mashabiki Chelsea, atetea umuamuzi wake
BAADA ya kupoteza mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United kwa kufungwa mabao 3-1, kocha mkuu wa Chelsea, Enzo Maresca, amewajibu baadhi ya mashabiki wanaolalamikia uamuzi wa kocha huyo...