Arsenal V PSG, London itasimama ILIKUWA wikiendi murua kwa mashabiki wa Liverpool. Wikiendi ya kihistoria. Mataji 20 ya Ligi Kuu England, Jiji la Liverpool lilichafuka kwa shangwe, starehe, watu walikunywa, wakala na starehe za...
Mastaa wapya hatihati Chelsea CHELSEA inaweza kupigwa marufuku kuwatumia Liam Delap, Joao Pedro na wachezaji wengine iliowasajili majira haya ya kiangazi katika Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Fountain Gate yabaki Ligi Kuu, Stand United ijipange tena Timu ya Fountain Gate imefanikiwa kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United kwenye mchezo wa ‘play off’ ya pili uliopigwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, huku...
Kumbe Paul Pogba bado pesa ipo LICHA ya kukumbwa na kashfa nzito za kufungiwa kucheza soka kwa muda wa miaka minne na baadaye adhabu hiyo kupunguzwa kufikia miezi 18, kutokana na matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku (doping),...
Ushindi waipa Mamelodi zawadi ya bingwa wa CAF USHINDI wa bao 1-0 ilioupata Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya Ulsan HD ya Korea Kusini katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu 2025 inayofanyika Marekani, imeipa klabu hiyo Sh...
Mastaa wanaokimbiza NBA Hata hivyo, moja kati ya mambo yanayoibuka kila wakati ligi hii inaposimama ni msimamo wa mchezaji bora wa msimu.
Yanga yashindwa kuvunja mwiko wa Al Ahly, Cairo Yanga imeshindwa kuvunja rekodi ya Al Ahly iliyodumu tangu mwaka 1982 ya timu za Tanzania kuibuka na ushindi kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Cairo. Ahly haijawahi kupoteza mechi yoyote nyumbani...
Usiyoyajua kuhusu Munishi, anguko lake "Nahuzuni moyoni, mimi siimbi nalia, namlilia Malebo, amekataa kuokoka, nilizoimba ni nyingi, nikimuonya Malebo, bado hajabadilika, sasa siimbi nalia"
VIBEN TEN: Mastaa wa soka wenye wake wakubwa kiumri WANASEMA hivi mapenzi hayana umri. Kwa miaka ya karibuni, umeibuka utamaduni wa wanawake mwenye umri mkubwa kuolewa au kuanzisha uhusiano wa kipenzi na wanaume wenye umri mdogo.
Mwana FA awatolea uvivu Basata sakata la ukaguzi wa nyimbo za wasanii Mbunge wa Muheza (CCM), Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kutafuta utaratibu mwingine wa kuzihakiki nyimbo za wasanii wanaodaiwa kutumia lugha chafu...