Mambo matatu muhimu dili la Isak KOCHA, Arne Slot amesema Liverpool itaendelea kufanya mchakato wa kunasa huduma ya straika wa Newcastle United, Alexander Isak katika siku za mwisho za kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili.
Mechi nne za kimkakati Ligi Kuu Bara MECHI nne za Ligi Kuu Bara zitapigwa Jumatano hii kwenye viwanja tofauti zikiwa na vita tatu, kisasi, ubingwa na kujiweka pazuri.
Arteta atamba usajili dirisha kubwa KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesisitiza dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi litakwenda kuwa kitu kikubwa sana kwenye kikosi chake hicho cha Emirates.
Son Heung-min aingia anga za Wasaudia STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min anawindwa na timu kibao za Saudi Arabia katika dirisha hili.
Huu hapa mzigo wa Afrika Kombe la Dunia la Klabu WANASEMA nyumbani kwanza. Licha ya utitiri wa mastaa watakaokuwepo Marekani na timu mbalimbali kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu, mashabiki wengi kutoka Afrika watakuwa na hamu ya...
Arsenal kuna kitu kimetiki! MASHABIKI wa Arsenal sasa wameanza kuamini ni straika gani wa kiwango cha dunia watakayekwenda kumsajili kwenye dirisha hili baada ya kuwa follow kwenye ukurasa wa Instagram na kisha kinyozi wake...
PRIME Kambi yanga iko huku YANGA imebakiza hatua chache kumtangaza kocha mpya wa timu hiyo, lakini mezani kwa mabosi wao kuna nchi tatu zinataka kuona ufundi wa kwanza wa mtaalamu huyo wa ufundi.
Wakali wa kufumania nyavu 2025 STRAIKA, Viktor Gyokeres alikuwa kinara wa mabao 2024, alipohitimisha mwaka huu akifunga mara 52.
EUROPA LEAGUE: Fainali ya kujuana! MAKOCHA wawili ambao kila mmoja anapambana na hali yake, Ruben Amorim na Ange Postecoglou wataonyeshana ubabe jino kwa jino katika fainali ya Europa League ambayo itakutanisha timu mbili za...
Martha Mwaipaja, Angel Magoti kazi ipo JUMLA ya kazi 529 za wasanii wa muziki wa Injili zimepokewa na Waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili nchini (TGMA), ili kuanza mchakato wa kupata wakali watakaotunukiwa heshima siku ya hafla ya...