Simba yatua bodi ya Ligi na barua SIMBA imefanya tathmini ya ratiba ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Afrika kwa mechi za mwishoni mwa mwezi huu na mwanzoni mwa Desemba na baada ya hapo ikapeleka barua bodi ya Ligi Tanzania...
PRIME Ramovic: Nataka makombe Yanga YANGA imemtambulisha rasmi kocha Mjerumani Sead Ramovic kama mbadala wa Miguel Gamondi waliyeachana naye rasmi jana, Ijumaa mchana.
Cheki bili za klabu za EPL zinavyolipa mastaa wake kwa mwaka MABINGWA wa Ligi Kuu England, Manchester City ndiyo wanaotumia pesa nyingi kulipa mishahara kuliko nyingine zote ze ligi.
Mkakati maalum… Isak, Sesko kutua Arsenal VIGOGO wa Arsenal wanaamini kuwa watavuna matokeo ya kutosajili mchezaji yeyote katika dirisha lililopita ifikapo mwisho wa msimu huu.
Kenya kwenye mtihani mzito uteuzi timu ya vijana Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Kenya chini ya miaka 17, Mildred Cheche ana kazi ya kujenga upya kikosi chake kabla ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia la Wanawake dhidi ya Uganda mwezi Machi.
Panga la Guardiola kumfyeka Grealish Man City STAA ghali kabisa kwenye Ligi Kuu England, Jack Grealish ametajwa ndiye mchezaji atakayeongoza kundi la mastaa wasiopungua wanane watakaofunguliwa mlango wa kutokea huko Manchester City.
Kesi ya Man City bado hukumu tu! KUMEKUCHA. Suala la kusikiliza pande zote mbili kwenye kesi ya mashtaka ya Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City limekamilika, imeripotiwa.
NDINGA KALI: Kwenye magari Salah ni habari nyingine WACHEZAJI wengi wa soka wanapenda starehe na kununua vitu mbalimbali vya thamani kama saa, boti, nyumba, vito na wengine magari.
Chelsea: Hatutaki ubingwa Meneja wa Chelsea, Enzo Maresca amesema kuwa timu yake haipo tayari kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) licha ya muendelezo wa matokeo mazuri ambao wamekuwa nayo katika siku za hivi karibuni.
Arteta atikiswa tena, majeraha yakikiandama kikosi KOCHA mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema wanasubiri kwa hamu taarifa za kuhusu mastaa wake mawili Gabriel na Jurrien Timber waliopata majeraha katika mechi ya ushindi dhidi ya Fulham...