England vs Argentina: FBI yaipa mechi hadhi ya hatari kubwa zaidi Kombe la Dunia 2026 POLISI nchini Marekani wameweka tahadhari ya kiwango cha juu kuelekea mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya England na Argentina utakaochezwa Jumatano kwenye Uwanja wa...
Slavko Vinčić kuamua Hispania vs Argentina SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemtangaza mwamuzi wa kimataifa kutoka Slovenia, Slavko Vinčić, kuwa msimamizi wa mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia 2026 utakaowakutanisha mabingwa...
Kombe la Dunia lawanufaisha washindi 80 WAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikifikia tamati Jumapili ya Julai 19, 2026, Watanzania wameendelea kunufaika nje ya uwanja kupitia kampeni ya ya Kombe la Dunia ya "Kila Muamala ni Bao la...
Chelsea yaizidi Arsenal kwa Morgan Rogers CHELSEA inatarajiwa kukamilisha usajili wa kushangaza wa mshambuliaji Morgan Rogers kutoka Aston Villa kwa ada ya pauni 117 milioni wiki hii, katika dili litakaloweka rekodi mpya ya usajili wa...
FBI yachunguza simu ya Rais wa Argentina RAIS wa Shirikisho la Soka Argentina (AFA), Claudio "Chiqui" Tapia, anadaiwa kushikiliwa kwa muda na maafisa wa FBI kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JFK, New York, muda mfupi kabla ya...
Marekani kuwania uenyeji wa Kombe la Dunia 2038 MAREKANI inaweza kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2038, licha ya kuwa imehitimisha hivi karibuni kuandaa mashindano ya mwaka 2026 kwa ushirikiano na Canada na Mexico.
Yas yazindua msimu wa sita Zanzibar Marathon 2026 KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua rasmi msimu wa sita wa mbio za Yas Zanzibar International Marathon 2026, ikiahidi kuendelea kuwekeza katika michezo, afya ya jamii na utalii wa...
Mpira kwao ni kazi tu, hawaupendi soka, ni kazi yangu tu.” Hata kwenye kitabu chake, hilo lilithibitishwa na mwandishi wake, Alessandro Rialti, ambaye alipohojiwa mwaka 1999 alisema Batistuta hakuwa kama wachezaji wengine...
MTU WA MPIRA: Hivi mchakato wa mabadiliko Yanga uliishia wapi? baadhi ya machawa pale Yanga wataanza kusema hizi ni propaganda za wapinzani wao. Inabidi waseme hivyo ili kutetea ugali wao. Hawawezi kujibu hoja hata siku moja. Wataishia kumsema mtoa hoja. Ndio...